5G vs Starlink

5G vs Starlink

The way constellation ya Starlink inafanya kazi ni engineering marvel. The system works like a live organism, kama ambavyo white blood cells zinakuwa dispatched kwenda eneo husika kufanya kazi, Starlink automatically ina-allocate more satelites kadri demand ya eneo husika inavyoongezeka. Since demand sio static so number of satelites sio static kwenye eneo flani ina-vary. Uwezekano wa sat moja kuhudumia 5000+ clients ni uhakika.
So explain to me kama mtoto why Kenya miezi zaidi ya mitatu sasa hivi ipo loaded na kuna watu 19,000 na haijakua solved.
 
V3 ni future so far ipo kwenye makaratasi zaidi, ina gharama zaidi, nzito zaidi etc haiwezi kuwa solution kwa huyu anaelipa Laki East Africa.

For the sake of discussion tu assume East Africa wanatumia latest satelite kushinda hata Usa unagota hapo ~90Gbps ambayo still haihudumii hao watu 5000 anaosema jamaa.

Hakuna data ambazo zinaonesha exactly satelite ngapi zipo deployed Africa ila uki judge kwa hio Ramani ya starlink zinaweza fika hata 100.ama zaidi. No way satelite 4 zihudumie hao watu
Satellite moja ya v2 inayotoa beams 60, kwa watu 100 inakuwa 6000, bado unabisha kiongozi?
 
So explain to me kama mtoto why Kenya miezi zaidi ya mitatu sasa hivi ipo loaded na kuna watu 19,000 na haijakua solved.
Zaidi nachoona mkuu ni commercial side, a satelite serving Kenya region generates less dollars per hour compares to a satelite serving Europe au US.

Kumbuka the satelite ni revenue generating asset and ina limited lifespan and inatakiwa kugenerate revenue XYZ katika kipindi cha uhai wake ili kulipia costs zake na kupata faida so wenye biashara yao wana-maximize kwenye returns kubwa. Unless Starlink warudi wapandishe bei ya Kenya ili kuwarrant more allocation ya satelites vinginevyo the revenue wanayopata kutoka hapo kwa sasa haimatch na speed ya kurudisha return ya investment.

Huenda kuna sababu ingine pia, i stand to be corrected
 
Sikatai reasoning hii, fair enough.
 
Kwa sababu PoPs ni chache..
Nishakuambia link ya juu ground station hazikua zikitumika Kenya kabisa siku zote na kazi ya ground station ni ku improve latency sio capacity, capacity ipo kwenye satelite, kama Kenya imezidiwa capacity ground station ina solve vipi hapo?

Mozambique, Rwanda na kwengineko pia hakuna ground station. Wanashare zilizopo, starlink inaweza tumia ground station yoyote ile duniani inaongezeka ping tu.
 
SI unaona umejijibu kabisa hapo..
Starlink wana kiwango chao standard cha latency..
Na ground stations zina kikomo cha ku connect bandwidth ya satellites.. sijui umeelewa?

Dunia nzima kuna ground stations 150, 3 zipo Africa kuhudumia Africa yeyote, hii unaonaje?
 
Nilisema n portable...
Na mimi nikauliza ukienda nje ya mji utabeba nyaya za faiba... au utabeba mnara wa 5G hadi nje ya miji au vijijini?
5g ipo phase ya kwanza. so bado inakua, vp na wanakijiji wanaweza kumudu gharama za kuinstall na kununua starlink?
 
Hujui chochote acha kujitia ujuaji ndugu, starlink wanaweka hadi kwenye gari na ndege na boti, gari inakwenda na internet unapata... punguza ujuaji mkuu..
dunia hii nani wa kumbebesha antena mzee, hata kama ni portable, yaani nibebe simu nibebe na antenna? 😂
 
hata starlink ukienda nje ya mji
Nani anataka 5G ya 1GB unanunua Tshs 2000, ukisafiri kwenda nje ya mji connection hakuna...
hakuna umeme, au unataka kutuambia unatembea na solar kwenye begi? ***** michezo 😆
 
Inawezekana wewe ni Mjinga ama ni Mpumbavu,nothing more nothing less
Facts:-kuhusu mitandao ya simu*
1.Mitandao ya simu ina miaka zaidi ya 20 imeshindwa kufikisha 3G tu,vijijini itakua hio 5G,Ok tuwape miaka 50 na ngapi
2.Mitandao ya simu inatoza GB 1=2100/=,hivi si ni mpumbavu pekee atafurahia huu usengerema
3.mitandao ya simu inaweza zimwa na wanasiasa,kumbuka Kuna watu wnaafanya aggressive business online,hawaitaji network breakdown
Facts kuhusu Starlink
1.GB 50=elfu 30,yaani 1G=600Tsh,ni mpumbavu kama wewe ndio utakataa hii faida
2.unaweza access 10MBPS hata ukiwa maporini ambapo mitandao uchwara haifiki
3.ukilipia mfano hio GB 50,unaweza unganisha devices zaidi ya 200
4.wanasiasa wapenda madaraka hawawezi kukata network
Je wewe ni mjinga ama ni mpumbavu?
Mada nzuri lakini unakwama hapo kwenye matusi.
 
Hapo hujaelewa kitu mzee..
Satellite moja ya starlink inaweza hudumia watu hadi 5000 na zaidi kwa wakati mmoja...

Nimekuelezea hapo kwamba bado starlink hawajaweka ground stations za kutosha, Africa nzima kuna ground stations mbili tu , moja ipo Nigeria nyingine Nairobi.. hizo ndizo zinahudumia Africa yote...
Tatizo sio satellite, tatizo hapo ni ground stations....

Kama huku mnavyopambana na kujenga minara toka 1990s, starlink ya juzi hapa inaendelea kujenga ground stations , Nigeria sasa wanaendelea na ujenzi katika miji mitatu Lagos, Ogun, na Port Harcourt.

Mwezi march hapo Msumbiji wametengeneza kituo hapo Msumbiji kwa ajili ya ku feed connection Kusini mwa Jangwa la Sahara, hasa kwa nchi jirani kama Zambia na Zimbabwe..

Kama starlink wana satellite zaidi ya 7578... hawashindwi kutengeneza ground stations(PoP) za kutosha hapa East Africa..

Hadi sasa kuna Point of Presence mbili tu Africa kote, moja ni Nigeria na nyingine ni Kenya...

Gharama moja ya kutengeneza satellite ya starlink v2 mini ya kisasa ni dola $200,000–$300,000 kwa satelaiti moja.. ikiwa ni pamoja na ujenzi, majaribio, na urushaji...
Starlink inarushwa kwa kutumia roketi za Falcon 9 kutoka SpaceX, kwa gharama ya karibu $67 milioni kwa roketi moja, inayobeba satelaiti kati ya 22–60.

Tuje kwenye gharama ya ground stations...
Kituo cha PoP cha Starlink, ground station yenye dishes kubwa, fiber connection na data center ndogo hugharimu Takribani $50,000 hadi $250,000 kutegemeana na eneo...
Hapo Gharama ni ya kujenga, kuweka vifaa, na kuunganisha na fiber kwenye internet backbone...

Hivyo elewa Satelaiti ya Starlink ni ghali zaidi kutengeneza na kurusha kuliko PoP ya ardhini lakini bado angani wana satellite 7578, watashindwa kusambaza hizo PoPs bara la Africa?
kumbe hakuna hata ground stations na unakuja kuBrag hapa 😆 😆 😆
 
Sasa ya nini kuipamba 5G hali ya kuwa unafahamu bei yake ni ghali?

Nchi nyingine hasa EU na US cellular data inaweza kuwa kubwa kwa sababu hawategemei cellular data, matumizi yao ni wi-fi hadi chooni, kila mahala ni wi-fi.. cellular data labda mtu anachat whatsapp akiwa kwenye usafiri...

Mwaka 2022 takwimu zinasema 91.2% za nyumba zote USA wana internet subscription...
Huwezi linganisha na huku shit hole countries zetu...

Hivyo hao hata wakiuziwa bando ya 1GB kwa milioni, hawana time nayo...

Tofauti na nyie huku nyumba ikiwa na internet unaonekana unajiweza, kila mmoja anatumia cellular data 1GB kwa Tshs 2000... ni upuuzi na upumbavu... halafu mnaletewa starlink mnajitia ujuaji..
bei za starlink unazijua? yaani mtu wa kijijini aache kunua pembejeo anunune starlink bei zaidi ya laki. seriously?
 
Mwaka 2025 bado mnavuta minyaya ndani , ndani unafunga manyaya ni uchafu mtupu hata ofisini..
Ukitaka kuhama unaanza kufungua unawaambia mafundi wakakufungie unapohamia.. taabu zote za nini?
Ila ukiwa na starlink unahama nayo..
Unapanda juu ya bati kufunga access point antenna mwishowe uporomoke huko juu uvunjike miguu...

Unaiponda starlink lakini huwezi linganisha na huo uchafu mnaodanganywa wa 5G, 1GB kwa 2000 , kuanzia bei mnaibiwa, coverage ni za hovyo, upuuzi mtupu... ptuuu...

Huo usumbufu wa nini?
sasa starlink packages zao unajua zinaanzia tsh ngapi? alafu mimi sipo kwenye faiba maana umekazana faiba faiba faiba. mimi nipo kwenye 5G, na hiyo starlink yako kwa speed haishindi 5G kaa ukijua hilo.
 
SI unaona umejijibu kabisa hapo..
Starlink wana kiwango chao standard cha latency..
Na ground stations zina kikomo cha ku connect bandwidth ya satellites.. sijui umeelewa?

Dunia nzima kuna ground stations 150, 3 zipo Africa kuhudumia Africa yeyote, hii unaonaje?
Ingekua issue ni ground station bandwidth isingepungua bali ping ingeongezeka. Ila tatizo la sasa bandwidth imepungua ina maana tatizo ni jengine sio ground station
 
bei za starlink unazijua? yaani mtu wa kijijini aache kunua pembejeo anunune starlink bei zaidi ya laki. seriously?
Kabla ya hio hela ya mwezi unatakiwa ulipe zaidi ya laki 5 ama zaidi ya milioni ununue Antenna kwanza,
 
Salamu, katika pitapita zangu za hapa na pale mitandaoni nimetumia muda kidogo kulinganisha teknolojia hizo mbili hapo juu.

Na matokeo yake nikagundua 5G ipo juu zaidi ya starlink kwa karibu Kila eneo speed, latency etc

Kwa Nini tusiwape muda Hawa watoa huduma wetu kuwekeza 5G Yao iwepo kila mahali hapa nchini? Sababu Kwa Dunia ya Sasa hivi inahitaji internet yenye Kasi na 5G ipo vizuri kwenye Hilo?

View attachment 3154550
We jamaa wewe
 
Back
Top Bottom