5G vs Starlink

5G vs Starlink

Kaa hivyo hivyo ufkirie Starlink atakuekea terminal kama Usa

View attachment 3356019

Hio Ramani ya Dunia ikionesha terminal za Starlink.

For comparison kuelewa terminal ya starlink inahudumia watu 200 mpaka 300, mnara wa simu kama 5G unahudumia hadi watu 10,000

Hakuna mtu atakaespend trilion kadhaa kukupa capacity ya Usa.
Dah! hii comparison haiendani hata kidogo, unalinganishaje mnara na router ya starlink...?
Mnara unabebeka? umeme unaotumia mnara na gharama za uendeshaji utalinganisha na ki router cha starlink?

Haya ukitaka kusafiri kabebe mnara uwe unatembea nao...

Kama satellite ilikuwa gharama na spaceX wametengeneza satellite zaidi ya 7578 zinazunguka angani watashindwa tengeneza ground stations za kutosha EA hapa?
 
Sasa ya nini kuipamba 5G hali ya kuwa unafahamu bei yake ni ghali?

Nchi nyingine hasa EU na US cellular data inaweza kuwa kubwa kwa sababu hawategemei cellular data, matumizi yao ni wi-fi hadi chooni, kila mahala ni wi-fi.. cellular data labda mtu anachat whatsapp akiwa kwenye usafiri...

Mwaka 2022 takwimu zinasema 91.2% za nyumba zote USA wana internet subscription...
Huwezi linganisha na huku shit hole countries zetu...

Hivyo hao hata wakiuziwa bando ya 1GB kwa milioni, hawana time nayo...

Tofauti na nyie huku nyumba ikiwa na internet unaonekana unajiweza, kila mmoja anatumia cellular data 1GB kwa Tshs 2000... ni upuuzi na upumbavu... halafu mnaletewa starlink mnajitia ujuaji..
umeambiwa starlink ni ghali na sio 5G acha kuhamisha mafaili.
 
Dah! hii comparison haiendani hata kidogo, unalinganishaje mnara na router ya starlink...?
Mnara unabebeka? umeme unaotumia mnara na gharama za uendeshaji utalinganisha na ki router cha starlink?

Haya ukitaka kusafiri kabebe mnara uwe unatembea nao...

Kama satellite ilikuwa gharama na spaceX wametengeneza satellite zaidi ya 7578 zinazunguka angani watashindwa tengeneza ground stations za kutosha EA hapa?
My point is satelite zao zimeshindwa kuhuduMia watu 19,000 tu kiasi ambacho minara miwili tu inahudumia bila shida, itawezaje kukomboa watu milioni 60 wakati 19,000 imeshindwa?

Na Elon hawezi kukuletea satelite 7000 ni matrilioni ya hela, kwake yeye ni faida zaidi kununua mitandao yote ya Tanzania kuliko kuleta hizo satelite.
 
Hujui chochote watu wana dish nyumbani kwa sababu hizi.. sio mazoea
1- Internet ni bei ghali, na bado ulipe app, either azam app, showmax, dstv , netflix n.k.. unalipia internet na bado unalipia kifurushi cha app.. isitoshe kutizama match full kwa HD gharama ya internet ni kubwa.

2-Coverage na shida ya mtandao, kwa wale waliopo vijijini mtandao ni wa shida hivyo lazima awe na dish.

3-Ubora wa streaming na ubora wa vifaa , dish unatizama kwenye tv na familia nyumbani kwenye screen kubwa, wote mnajumuika, simu unahitaji casting na hapo ni kwa wale wenye tvs zitakazo support casting , kumbuka wengine hawana hayo maarifa...
Tuseme umevuta mawaya yako ya fiber yule wa kijijini hio fiber anaipata wapi?

Lakini ukiwa na starlink hata misituni ngorongoro kama ni match una stream bila shida, unachat whatsapp na kuingia jf kama kawa..
sio kweli acha kukakaza fuvu. kustream content sio lazima eti ulipie app. mimi huu mwaka wa 4 siwajui azamtv lakini Nbc ligi nacheki bila usumbufu na mbs kidogo. kuhusu starlink kutumika hata ngorongoro ni kweli ila itahitaji uwe eneo husika yaani usiondoke happ. na miaka hii ngumu kukaa sehemu moja,
 
Sasa huko vijijini ndipo kuna fiber?
Starlink mini inachajiwa kama laptop, simu n.k.. na inatumia solar tena umeme mdogo tu kuliko laptop.. huko kijijini kama kuna solar ni twende kazi ngoma inasoma...

Je hayo ma fiber yenu yanachajiwa, utaweza kulibeba hadi kijijini hali ya kuwa hata mijini tu baadhi ya maeneo hayafiki..

Huyo kijijini utayembea na king'amuzi cha zuku na ungo...

Acheni ujuaji kwenye vitu vinavyo eleweka...

Nani haelewi masuala ya line of sight? kwa hio kwa akili zako unaona kijijini satellite haitoweza kuiona antenna ya starlink kwa sababu hakuna line of sight? 😂 😂 😂 😂 ...
Hadi kufikia leo hii june 4 2025 starlink wana zaidi ya satellites 7578... zinazunguka angani, unafikiri starlink ni madishi ya azam tv na dstv...?

Line of sight ipo wazi na anga halijazibwa, kinachohitaji line of sight nzuri ni vile vi antenna vya internet vya kitapeli mnawekewa juu ya mapaa.. kama hiki..👇
71AuCvMbeTL._AC_SL1256_.jpg

yaani hivyo vi antenna hata kati kati ukiwepo mti ama ghorofa basi hupati access, starlink hata uwe ndani ya nyumba, access unaipata...
nani kasema fiber? khee. mimi nazungumzia mobile internet 5g na sio mambo ya faiba. huu sio ulimwengu wa maantena ndugu. yaani unanibebesha begi ukiulizwa eti antenna
 
line of sight niliizungumzia kwa sababu wewe umetuambia eti unaweka antenna kwenye begi(😂) sasa ukishaweka kwenye begi, line of sight itawezekana?
 
My point is satelite zao zimeshindwa kuhuduMia watu 19,000 tu kiasi ambacho minara miwili tu inahudumia bila shida, itawezaje kukomboa watu milioni 60 wakati 19,000 imeshindwa?

Na Elon hawezi kukuletea satelite 7000 ni matrilioni ya hela, kwake yeye ni faida zaidi kununua mitandao yote ya Tanzania kuliko kuleta hizo satelite.
Hapo hujaelewa kitu mzee..
Satellite moja ya starlink inaweza hudumia watu hadi 5000 na zaidi kwa wakati mmoja...

Nimekuelezea hapo kwamba bado starlink hawajaweka ground stations za kutosha, Africa nzima kuna ground stations mbili tu , moja ipo Nigeria nyingine Nairobi.. hizo ndizo zinahudumia Africa yote...
Tatizo sio satellite, tatizo hapo ni ground stations....

Kama huku mnavyopambana na kujenga minara toka 1990s, starlink ya juzi hapa inaendelea kujenga ground stations , Nigeria sasa wanaendelea na ujenzi katika miji mitatu Lagos, Ogun, na Port Harcourt.

Mwezi march hapo Msumbiji wametengeneza kituo hapo Msumbiji kwa ajili ya ku feed connection Kusini mwa Jangwa la Sahara, hasa kwa nchi jirani kama Zambia na Zimbabwe..

Kama starlink wana satellite zaidi ya 7578... hawashindwi kutengeneza ground stations(PoP) za kutosha hapa East Africa..

Hadi sasa kuna Point of Presence mbili tu Africa kote, moja ni Nigeria na nyingine ni Kenya...

Gharama moja ya kutengeneza satellite ya starlink v2 mini ya kisasa ni dola $200,000–$300,000 kwa satelaiti moja.. ikiwa ni pamoja na ujenzi, majaribio, na urushaji...
Starlink inarushwa kwa kutumia roketi za Falcon 9 kutoka SpaceX, kwa gharama ya karibu $67 milioni kwa roketi moja, inayobeba satelaiti kati ya 22–60.

Tuje kwenye gharama ya ground stations...
Kituo cha PoP cha Starlink, ground station yenye dishes kubwa, fiber connection na data center ndogo hugharimu Takribani $50,000 hadi $250,000 kutegemeana na eneo...
Hapo Gharama ni ya kujenga, kuweka vifaa, na kuunganisha na fiber kwenye internet backbone...

Hivyo elewa Satelaiti ya Starlink ni ghali zaidi kutengeneza na kurusha kuliko PoP ya ardhini lakini bado angani wana satellite 7578, watashindwa kusambaza hizo PoPs bara la Africa?
 
nani kasema fiber? khee. mimi nazungumzia mobile internet 5g na sio mambo ya faiba. huu sio ulimwengu wa maantena ndugu. yaani unanibebesha begi ukiulizwa eti antenna
Nani anataka 5G ya 1GB unanunua Tshs 2000, ukisafiri kwenda nje ya mji connection hakuna...
 
sio kweli acha kukakaza fuvu. kustream content sio lazima eti ulipie app. mimi huu mwaka wa 4 siwajui azamtv lakini Nbc ligi nacheki bila usumbufu na mbs kidogo. kuhusu starlink kutumika hata ngorongoro ni kweli ila itahitaji uwe eneo husika yaani usiondoke happ. na miaka hii ngumu kukaa sehemu moja,
Hujui chochote acha kujitia ujuaji ndugu, starlink wanaweka hadi kwenye gari na ndege na boti, gari inakwenda na internet unapata... punguza ujuaji mkuu..
 
line of sight niliizungumzia kwa sababu wewe umetuambia eti unaweka antenna kwenye begi(😂) sasa ukishaweka kwenye begi, line of sight itawezekana?
Nilisema n portable...
Na mimi nikauliza ukienda nje ya mji utabeba nyaya za faiba... au utabeba mnara wa 5G hadi nje ya miji au vijijini?
 
Hapo hujaelewa kitu mzee..
Satellite moja ya starlink inaweza hudumia watu hadi 5000 na zaidi kwa wakati mmoja...

Nimekuelezea hapo kwamba bado starlink hawajaweka ground stations za kutosha, Africa nzima kuna ground stations mbili tu , moja ipo Nigeria nyingine Nairobi.. hizo ndizo zinahudumia Africa yote...
Tatizo sio satellite, tatizo hapo ni ground stations....

Kama huku mnavyopambana na kujenga minara toka 1990s, starlink ya juzi hapa inaendelea kujenga ground stations , Nigeria sasa wanaendelea na ujenzi katika miji mitatu Lagos, Ogun, na Port Harcourt.

Mwezi march hapo Msumbiji wametengeneza kituo hapo Msumbiji kwa ajili ya ku feed connection Kusini mwa Jangwa la Sahara, hasa kwa nchi jirani kama Zambia na Zimbabwe..

Kama starlink wana satellite zaidi ya 7578... hawashindwi kutengeneza ground stations(PoP) za kutosha hapa East Africa..

Hadi sasa kuna Point of Presence mbili tu Africa kote, moja ni Nigeria na nyingine ni Kenya...

Gharama moja ya kutengeneza satellite ya starlink v2 mini ya kisasa ni dola $200,000–$300,000 kwa satelaiti moja.. ikiwa ni pamoja na ujenzi, majaribio, na urushaji...
Starlink inarushwa kwa kutumia roketi za Falcon 9 kutoka SpaceX, kwa gharama ya karibu $67 milioni kwa roketi moja, inayobeba satelaiti kati ya 22–60.

Tuje kwenye gharama ya ground stations...
Kituo cha PoP cha Starlink, ground station yenye dishes kubwa, fiber connection na data center ndogo hugharimu Takribani $50,000 hadi $250,000 kutegemeana na eneo...
Hapo Gharama ni ya kujenga, kuweka vifaa, na kuunganisha na fiber kwenye internet backbone...

Hivyo elewa Satelaiti ya Starlink ni ghali zaidi kutengeneza na kurusha kuliko PoP ya ardhini lakini bado angani wana satellite 7578, watashindwa kusambaza hizo PoPs bara la Africa?
Kwanza unakandia fiber halafu kila comment unasifia Ground station, unajua kama ground station ni fiber?

Lete ushahidi hapa Satelite ya starlink inahudumia watu 5000 kwa pamoja.

Satelite moja ina Bandwidth 20Gbps kwa speed ya 200mbps ni watu 100, na kwa hio 47mbps ni watu 450, ingekua inahudumia watu wengi hivyo why ishindwe kuhudumia watu 19,000?
 
Huelewi nini hapo?
KInachopelekea Kenya starlink imesimamisha watumiaji wapya sio satellite ni ground stations chache...
Satellite za sasa zina tech ya ISL hazitegemei sana ground stations, lakini starlink huko angani wana satellite pia zile za kwanza ambazo zinategemea ground stations... hivyo zinatumiaka bado..

Nimeeleza pia hata kama starlink wataleta hizo starlink za kisasa v2 ambazo zina tech ya ISL ambayo inasaidia kutotegemea zaidi ground stations bado kusheria nchi nyingi wanahitaji ground stations ili wadhibiti data za watumiaji wao.. umeelewa hapo?

Narudia tena hao watumiaji 19,000 wa Kenya wanaweza kuhudumiwa na satellite nne tu za starlink... umeelewa hapo,? tatizo ni ground stations ambazo bado zinasambaa baran Africa..
 
Si Kweli Kenya wameanza kutoa huduma bila ground station na Ground station ndio mpya ya karibuni.

Tofauti na Kuwa na ground station ama kutoka na ground station ni ping, ukiwa na ground station inasaidia kupunguza latency ila satelite ndio inaamua capacity.
 
Kwanza unakandia fiber halafu kila comment unasifia Ground station, unajua kama ground station ni fiber?

Lete ushahidi hapa Satelite ya starlink inahudumia watu 5000 kwa pamoja.

Satelite moja ina Bandwidth 20Gbps kwa speed ya 200mbps ni watu 100, na kwa hio 47mbps ni watu 450, ingekua inahudumia watu wengi hivyo why ishindwe kuhudumia watu 19,000?
20Gbps ni generation ya kwanza, wanazorusha sasa hivi 2nd Gen zinafika 98Gbps, 3rd Gen ni 1Tbps so it gets better overtime.

Also hio 20Gpbs ni kwa beam moja tu inayopiga eneo flani so kutegemea na configuration kama satelite ina multiple beams mpaka 16 means 1st Gen tu inaweza kuhudumia clients mpk 1600 at 200Mpbs. 2nd Gen inaweza kufika 10,000 clients etc.
 
Hizo V2 Starlink mini inatoa beams hadi 60 na hio inayokuja itatoa beams hadi 100..
 
20Gbps ni generation ya kwanza, wanazorusha sasa hivi 2nd Gen zinafika 98Gbps, 3rd Gen ni 1Tbps so it gets better overtime.

Also hio 20Gpbs ni kwa beam moja tu inayopiga eneo flani so kutegemea na configuration kama satelite ina multiple beams mpaka 16 means 1st Gen tu inaweza kuhudumia clients mpk 1600 at 200Mpbs. 2nd Gen inaweza kufika 10,000 clients etc.
V3 ni future so far ipo kwenye makaratasi zaidi, ina gharama zaidi, nzito zaidi etc haiwezi kuwa solution kwa huyu anaelipa Laki East Africa.

For the sake of discussion tu assume East Africa wanatumia latest satelite kushinda hata Usa unagota hapo ~90Gbps ambayo still haihudumii hao watu 5000 anaosema jamaa.

Hakuna data ambazo zinaonesha exactly satelite ngapi zipo deployed Africa ila uki judge kwa hio Ramani ya starlink zinaweza fika hata 100.ama zaidi. No way satelite 4 zihudumie hao watu
 
The way constellation ya Starlink inafanya kazi ni engineering marvel. The system works like a live organism, kama ambavyo white blood cells zinakuwa dispatched kwenda eneo husika kufanya kazi, Starlink automatically ina-allocate more satelites kadri demand ya eneo husika inavyoongezeka. Since demand sio static so number of satelites sio static kwenye eneo flani ina-vary. Uwezekano wa sat moja kuhudumia 5000+ clients ni uhakika.
 
Back
Top Bottom