Nyani Ngabu said:Usafi wa kinywa Watu wengi umetupitia kushoto. Ni wachache sana kati yetu tunaokwangua ndimi zetu mara mbili kwa siku. Ni wangapi tunajua hata kama kuna tongue scrapers zilizo mahsusi kwa kazi hiyo tu?
Tongue scrapers ni muhimu sana katika kupigana na bad breath. Wale anaerobic bacteria wanaosababisha mdomo kunuka hujizalia sana kwenye ndimi hasa kwa sehemu ya nyuma kule karibu na koromeo. Sehemu ingine ambao hao bacteria wanapenda kujihifahi ni kwenye paa la kinywa (palate). Huko nako mtu unapaswa kupitisha mswaki.
Flossing. Idadi kubwa kati yetu hawajui flossing ni nini. Flossing husaidia sana katika kuondoa mabaki ya chakula yaliyonasa katikati ya meno. Sasa fikiria mtu anakula mchemsho, viepe, kitimoto, na vinginevyo halafu hakuna cha kufloss wala nini. Badala yake anatumia kijiti. Yale mabaki ya chakula yakikaa sana katikati ya meno huwa yanatoa harufu.
Na vile vijiti huwa havifikii sehemu nyingi tu za meno na hata huko zinakofika huwa havifanyi kazi sawa na nyuzi za flossing. Mtu ambaye hajawahi kufloss humu ndani na ajaribu siku moja aone jinsi ambavyo flossing ilivyo effective.
Mouthwash. Ni wachache sana tunaotumia mouthwash. Hizi nazo husaidia sana katika kuua harufu mbaya. Mtu ukishamaliza kuukwangua ulimi wako, ukishamaliza kufloss, ukishamaliza kusugua meno yako pamoja na paa la kinywa na fizi unasukutua na mouthwash kabla ya kusukutua na maji. Mtu ukizingatia na kufanya huo mchakato utakuwa umelipunguza tatizo la harufu mbaya kwa kiasi kikubwa sana.
Mwisho watu wengi hawajui kuwa kikubwa kisababishacho harufu mbaya mdomoni ni anaerobic bacteria. Hawa ni bacteria ambao hushamiri pasipo na oxygen ya kutosha. Sasa mdomo mara nyingi huwa unafungwa na hivyo kupelekea hao bacteria kujizalia na kushamiri.
Kwa hiyo hapo la msingi, baada ya kuzingatia yote hayo yahusuyo usafishaji ni muhimu pia kuuweka mdomo kuwa oxygenated mara kwa mara. Na hili linawezekana kwa kunywa maji throughout the day. Sisemi unywe maji kama ng'ombe. Just space out your water intake without long intervals in between and you'll be straight for the most part.
Hayo yote ukiongezea na routine teeth cleaning performed by a qualified dentist should do it in getting rid of bad breath.
What's wrong with that?
Flossing is highly effective in keeping your teeth clean and healthy by getting rid of food debris that gets stuck between your teeth especially in those hard to reach areas of your mouth/teeth.
Unasema ukweli lakini umezungumza lugha ambayo ni nje kabisa ya mtanzania wa kawaida,ama watanzania walio wengi.Nyani Ngabu said:Jaribu kwenda kwenye maduka makubwa makubwa ya dawa baridi uwaulizie. Kwenye haya maduka yetu mengine ya akina Mangi sidhani kama unaweza kuzipata hizo dental floss.
Mkuu shukran,
Sijafuatilia posts zote kwenye mjadala huu,na pengine nime imiss hiyo shule ya NN...
Na ndiyo maana nilisema i stand to be corretected.
Kuna yanayosemwa humu ndani ambayo pia inabidi usiyameze mazima mazima.
Mnapozungumzia unukaji wa mdomo, mnazunguzmia nyakati gani za siku?
Certainly huwezi kuona kuwa kuna mtu anaweza asinuke mdomo asubuhi na badaye mchana akawa ananuka mdomo?
Ukila breakfast,inazuia ile harufu mbaya kutoka tumboni kuweza kutoka through mdomo...
So inawezekana pia ukapiga mswaki vyema tu na hizo dawa za meno lakini bado mdomo ukanuka!
Njaa ndo sababu kubwa,then Hygiene...
Again i stand to be corrected!
Hapana mkuu,
Tumeongea mambo mengi ambayo tunayajua nje ndani na pia mbinu ambazo tunazitumia kupambana na hili tatizo... Binafsi limenisumbua kwa muda hadi nilipoamua kuchukua hatua za makusudi...Ukienda page 1-4 utaona tuliyoyasema.
Suala la breakfast linaweza kuwa na ukweli kwa sababu kuacha mdomo muda mrefu bila kuufungua na kuingiza hewa ya Oxygen kunasababisha harufu mbaya kwa sababu kunatoa mazingira mazuri kwa bacteria wanaoishi mdomo kuzaliana haraka na kutoa gesi zenye kiwango kikubwa cha sulfa ambazo ndio chanzo cha harufu mbaya ya mdomoni!!
Mkuu njaa sio sababu kubwa, ni usafi wakawaida mkuu. Bacteria ndio wanaleta harufu mbaya kinywani kutokana na kutosafisha mdomo vizuri.mabaki ya chakula yanaoza mdomoni, did u know flossing is more important than brushing ur teeth? Sasa tujiulize wangapi wetu wana floss?
Hapana mkuu,
Tumeongea mambo mengi ambayo tunayajua nje ndani na pia mbinu ambazo tunazitumia kupambana na hili tatizo... Binafsi limenisumbua kwa muda hadi nilipoamua kuchukua hatua za makusudi...Ukienda page 1-4 utaona tuliyoyasema.
Suala la breakfast linaweza kuwa na ukweli kwa sababu kuacha mdomo muda mrefu bila kuufungua na kuingiza hewa ya Oxygen kunasababisha harufu mbaya kwa sababu kunatoa mazingira mazuri kwa bacteria wanaoishi mdomo kuzaliana haraka na kutoa gesi zenye kiwango kikubwa cha sulfa ambazo ndio chanzo cha harufu mbaya ya mdomoni!!
Unasema ukweli lakini umezungumza lugha ambayo ni nje kabisa ya mtanzania wa kawaida,ama watanzania walio wengi.
Uko very out of touch,ushauri wako ni mzuri lakini you really have forgotten where you come from.
Kwa wengi wa watanzania,yote uliyoyasema ni kama anasa kwao...
Sikubaliani na analysis yako moja kwa moja....
Maelezo uliyoyatoa hata hivyo hayata resonate na wabongo wengi...
Nina wasiwasi na dawa za meno tunazozitumia nyingi aziui vijidudu vinavysababisha kualibika kwa meno na baadae meno yaliyoaribika kutoa harufu mbaya,recommendetion from doctors ni colgate
Natumaini watu wakipita hapa watapata darasa la kutosha ila tatizo letu wabongo kusoma kitu ambacho kina maelezo marefu hata kama kina msaada ni ishu
Nilishapata habari za kuaminika kuwa kuna upinzani mkubwa kati wa madaktari wa meno, na watengenezaji wa dawa, viwango vinavyotakiwa na madaktari ili afya zetu ziwe nzuri, ni gharama hivyo watafuta namna na kupata sympathy wa watu wa viwango. kwa hiyo dawa nyingi za kibiashara hazikidhi matakwa ya madaktari, sio Tanzania tu ila sehemu nyingi,
Nyani Ngabu,Nyani Ngabu said:No problem. Just enumerate the reasons as to why you disagree with me and we'll go head to head and toe to toe. I ain't never scared.
HahahaSikuambiwa nichangie lakin naomba kuuliza:i hiyo midomo ya watanzania milioni 20, ni nani aliyeinusa? Yeye wa kwake ulikuwa haunuki?
Baada ya kuuliza hilo, narudi zangu jukwaa la wakubwa.