50 cents afunguka kuhusu msanii diamond platnums

50 cents afunguka kuhusu msanii diamond platnums

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,899
Reaction score
37,699
Mamilioni ya mashabiki wa muziki nchini Tanzania, bado wanayo maswali mengi yasiyokuwa na majibu kuhusu suala la msanii Diamond Platnums, kuzimikiwa na warembo ambao kibongo bongo wana chukuliwa kuwa high classy. Wema Sepetu, Jackline Wolper, Jokate Mwegelo, Aunty Ezekiel, Irene Uwoya, Yule mbunge wa viti maalumu( Jina kapuni ) kwa kutaja wachache, achilia mbali makumi ya wasichana warembo wanao jitokeza hadharani kuelezea namna wanavyo tamani kuwa katika mahusiano na Platnums. Kinacho wapa watu maswali mengi ni kwa nini Diamond anazimikiwa na warembo kiasi hicho?

Curtis James Jackson III a.k.a 50 Cents ni msanii maarufu wa Hiphop kutoka Newyork, Marekani. Katika interview iliyo fanyika mnamo mwaka 2008 baina yake na jarida moja la masuala ya burudani nchini humo, alikuwa na kitu cha kusema ambacho uhalisia wake una shabihiana na tunacho kiona kwa Diamond. Je unapenda niseme? Wanao taka nisiseme waseme sio; SIO, . Na wanao taka niseme waseme ndio; NDIOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO! Walio sema ndio wameshinda. Alisema hivi :

"A man becomes as attractive as an attractive woman when he becomes successful and is publicly noted "

Somo ambalo 50 Cents anatupa watoto wa kiume ni kwamba, ili uweze kupendwa sana na wanawake katika namna ambayo wanaume huwapenda wanawake wanao vutia ( attractive women ), ni lazima uwe na pesa za kutosha, usiishie tu kuwa na pesa za kutosha, hakikisha watu wana fahamu kuwa una pesa za kutosha. Wanawake ( tena wale warembo wenye hadhi yako ) watakuwa wanakutafuta wenyewe.

WHO IS A SEXY MAN ?:

Msikilize 50 Cents :

"Women are attracted to men who offer security, financial security. And if you have money and you're famous, women find that sexy."

So when women say this man is sexy, they actually means this man has cash. Wewe uliyepata bahati ya kusoma uzi huu unatakiwa utambue kuanzia leo, when u become financially stable, u automatically become attracted to women, so yale maswali like, nifanye nini msichana huyu anipende and all that should not come from u AGAINOOO!

Haya sasa, mie nimemaliza, usiendelee kulaumu wachawi BUREE!, Wakati aliyekuroga wewe, ni YULEE, aliye kataa kukupeleka SHULE,
Ya kitaa, ndio hii ninayo kupaa, shauri yako ukikataa, utakuja pigwa na butwaa utakapo patwa na mabalaa "

Nakuacha na Signature: UKISIKIA NDUGU YAKO YUKO POLISI CHA'NGOMBE, FANYA MPANGO UMTOE KABLA HAJAFIKA NGOME.
 
mbona tunalitambua hilo kitambo tu, we domo kweli kiuhalisia akamng'oe jokate wapi na wapi? Kalagabaho!
 
Tunaotaabika kwenye hii dunia ni vijana viwavi kila kona ukiuza maji ya baridi typhod,ganja haramu miogo ya kukaanga na lupilipili ma na luchumvi ma inakolea kosingo wanasema kipindupindu.
 
Kichwa cha habari kimeandikwa kidaku daku though somo limeeleweka....
 
Kwa hiyo Diamond ana cash?
 
Du mwache awachukue tu tena wajipange ndio raha ya uanamuziki
Kuzimika kwake au kwao wanamuziki ni km Fella Akunikulapo Kutti, au jitu la miraba m4 Pepe Kalle (K2 Ngoma, SIDA)
 
Yaaan attractive and funny ........u don have mone 4get bout gud chics zea z not true lav this century....mone talks louder and beyond words u should not this........
 
Somo ambalo 50 Cents anatupa watoto wa kiume ni kwamba, ili uweze kupendwa sana na wanawake katika namna ambayo wanaume huwapenda wanawake wanao vutia ( attractive women ), ni lazima uwe na pesa za kutosha, usiishie tu kuwa na pesa za kutosha, hakikisha watu wana fahamu kuwa una pesa za kutosha. Wanawake ( tena wale warembo wenye hadhi yako ) watakuwa wanakutafuta wenyewe.

So when women say this man is sexy, they actually means this man has cash. Wewe uliyepata bahati ya kusoma uzi huu unatakiwa utambue kuanzia leo, when u become financially stable, u automatically become attracted to women, so yale maswali like, nifanye nini msichana huyu anipende and all that should not come from u AGAINOOO!

Kwanza hapo kwenye blue natumai ulitaka kusema 'become attacting' na sio attracted, kwani hata hohe hahe pangu pakavu tia mchuzi huwa 'attracted to women'!

Pili, kama unataka kutuaminisha hayo wewe na 50 Cent mnaamini...basi kwa Bakhresa pale nje Masaki wasingejaa omba-omba, bali wangejaa wasichana wote warembo na 'classy' wa mji huu!
 
Ujuaji mwingine bana unaboa kweli
 
Nimestuka niliposoma kwamba wewe ni MTOTO WA KIUME!!
 
Hivi Jokate Aunty Ezekiel na Wema ni high class ?.Kwa taarifa yako mimi nawaona kinyaa kuwasogelea kwanza Mke wangu ni bomba kuliko hawa wauza miili.Kweli kila binadamu ana vigezo vyake.
 
Back
Top Bottom