50 cents afunguka kuhusu msanii diamond platnums

50 cents afunguka kuhusu msanii diamond platnums

WHO IS A SEXY MAN ?: Msikilize 50 Cents :

“Women are attracted to men who offer security, financial security. And if you have money and you’re famous, women find that sexy.




So when women say this man is sexy, they actually means this man has cash. Wewe uliyepata bahati ya kusoma uzi huu unatakiwa utambue kuanzia leo, when u become financially stable, u automatically become attracted to women, so yale maswali like, nifanye nini msichana huyu anipende and all that should not come from u AGAINOOO!

So Mengi's sexy.. And Mwai Kibaki too..! Lol..
 
Wasichana wengi uliowaorodhesha ni capacity tester na sio high classy!! High classy ni Yule mwanamke mwenye degree zake kichwani au Ana phd mwenye offic yake mjini CO FULANI HIVI haoonyeshi makalio yake hovyo hovyo wala mapaja!! Sio hawa kutwa wanajianika kwenye magazeti ya udaku na kujipiga picha Instagram
 
GPL at work..., eti fifte cent ..blah blah daimondo..
 
You consider those women you've mentioned "CLASSY"? Negro please!
 
Hivi Jokate Aunty Ezekiel na Wema ni high class ?.Kwa taarifa yako mimi nawaona kinyaa kuwasogelea kwanza Mke wangu ni bomba kuliko hawa wauza miili.Kweli kila binadamu ana vigezo vyake.

mimi sioni 50 alivyo funguka kuhusu DIAMOND.
 
Kwanza hapo kwenye blue natumai ulitaka kusema 'become attacting' na sio attracted, kwani hata hohe hahe pangu pakavu tia mchuzi huwa 'attracted to women'!

Pili, kama unataka kutuaminisha hayo wewe na 50 Cent mnaamini...basi kwa Bakhresa pale nje Masaki wasingejaa omba-omba, bali wangejaa wasichana wote warembo na 'classy' wa mji huu!

na wewe become attacting ndio nini???ulitaka kusema become attracting? which is also wrong........it should be BECOME ATTRACTIVE i.e angesema u automatically become attractive to women......
 
Back
Top Bottom