50/50 (Fifty fifty)

50/50 (Fifty fifty)

Tulia tu bana,wewe mwenyewe unamakosa....Kwanini umdanganye? kwanini uchepuke?unakosa nini kwa mkeo?

Rekebisheni makosa mliyonayo ili mbaki njia kuu...mlitaka kuoana wenyewe af sahiz mnazingua...Kama ubachela raha ulikimblia nini ndoa?

Mkuu si unajua tena mambo ya nyumba ndogo?
 
Ningekuwa mimi ningelianzisha tu, huyo mwanamke naondoka nae.
 
Nilimuaga mke wangu Ijumaa asubuhi kuwa naenda dar. Safari hii alikuwa anaifahamu siku tatu kabla kuwa naufuata mzigo wa biashara! Usiku kabla hatujalala aliniandalia nguo za kuvaa na kubadilisha kwa sababu ningerudi baada ya siku nne.
Kiukweli sikuwa naenda popote, nilikuwa nahamisha makazi kwa mchepuko wangu uliopo maeneo ya sakina-jijini arusha. Jumapili Muda mchache kabla ya kuingia ukumbi wa Tripple A nilimpigia wife akanipa habari njema kuwa yupo nyumbani na anajiandaa kulala, kelele nilizokuwa nasikia ilikuwa mziki wa nyumbani tu, nikamtakia usiku mwema. Nikamshika mkono mchepuko wangu tukaingia ndani.
Wakati nikiwa nimelewa kiasi huku nikiwa ktk mazingira ya mahaba nikamwona mdada mrembo kwa pembeni akiwa kaegemea kifuani kwa mwanaume, baada ya mda nikawaona wanaondoka, kumwangalia kwa makini zaidi nikabaini ni mke wangu, nataka kwnd kuleta vagi mchepuko ukazingua, akili zikanijia kuwa niliaga niko dar na leo ni siku ya 3 tangu niondoke hapahapa jijini arusha!
Nikabaki naduwaa nikisindikiza kwa macho!

Ndio Yule wa mazingahombwe?
 
Nisingekubali aiseh, ngeleta tempa mbaya

Hicho kimada nilichonacho kina historia yake, kipo kama jini jini hivi, hamfahamu mke wangu lakini nilipomwangalia wife tu akatoa amri hakuna kunyanyuka! then na mie nikakumbuka kuwa nilishaaga na muda mfupi tu natoka kuwasiliana nae kuwa bado niko dar, ningefanyeje?
 
U MADE MA DAY kwi kwi kwi kwi kwiwiwiwiwi
 
Hicho kimada nilichonacho kina historia yake, kipo kama jini jini hivi, hamfahamu mke wangu lakini nilipomwangalia wife tu akatoa amri hakuna kunyanyuka! then na mie nikakumbuka kuwa nilishaaga na muda mfupi tu natoka kuwasiliana nae kuwa bado niko dar, ningefanyeje?

hapo ni mtenda katendwa, wasalimie hao machalii wa hapo kwa Olotu
 
mmhh huu uzi kama siuamin nauamini vileee kwakweli fifty fifty!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom