dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,937
- 8,358
trust me hapo sio 50/50, mke anauma zaidi!! labda useme wewe umepata maumivu 70 yeye 30!!!
Puliza upambe ndani....
SOKISI ZA BABA
mpe mtoa mada yupo hapo Triple A arusha
Ninemwona amevaa sandals...sasa soksi za nini?
Hahhahaa mm sio mpambaji..hebu kuja unisaidie kupamba nami niibe maujuzi Evelyn Salt
Puliza upambe ndani....
Basi utaenda nazo kwenye harusi maharusi wanavoingia wanamwagiwa maua
we unarusha hizo balloons zako
mmmh ata rest in pisi loooh
Hivi, hujasikie ile harusi imevunjwa kabla haijafungwa au unamaanisha nipeleke pistali? Evelyn Salt bana....
Hivi, hujasikie ile harusi imevunjwa kabla haijafungwa au unamaanisha nipeleke pistali? Evelyn Salt bana....
sio ishu tulia tu mpaka siku 3 zifike...endelezeni mapendo na wife life liendeeee mbelee, kwani shngap?(kamsemo tu hako)
Hivi, hujasikie ile harusi imevunjwa kabla haijafungwa au unamaanisha nipeleke pistali? Evelyn Salt bana....
trust me hapo sio 50/50, mke anauma zaidi!! labda useme wewe umepata maumivu 70 yeye 30!!!
Umuulize ya nini? mbona ye hatakuulizaHapo kutakuwa na amani kweli tena ndani ya nyumba? na nikitaka kumuuliza nitaanzaje?
Umuulize ya nini? mbona ye hatakuuliza
You see, kumbe hivo viballoons vina kazi nyingi
unaweza kumpa mgonjwa na kaua vya get well soon
usmuulize tena masai dada kazi ya hizo balloons
Tulia tu bana,wewe mwenyewe unamakosa....Kwanini umdanganye? kwanini uchepuke?unakosa nini kwa mkeo?Angeniuliza nin wakati hajaniona?