50/50 (Fifty fifty)

Tyta unahitajika upesii

ACHA UONGO KIJANA WEWE SI UMESEMA JIONI HII UNA BABY WAKO NI STRANGE SIJUI GALFRIEND UNAHISI NI JINI

UMEPOST LEO HII UNAZANI WATU HAWANA AKILI
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: y-n
Tyta unahitajika upesii

ACHA UONGO KIJANA WEWE SI UMESEMA JIONI HII UNA BABY WAKO NI STRANGE SIJUI GALFRIEND UNAHISI NI JINI

UMEPOST LEO HII UNAZANI WATU HAWANA AKILI

Mchepuko yule wewe masai dada, ndo huyu niko nae afu hajui kama nimeoa ndo mana nimeshindwa hata kumzingua mke halali!
 
Last edited by a moderator:
Tyta unahitajika upesii

ACHA UONGO KIJANA WEWE SI UMESEMA JIONI HII UNA BABY WAKO NI STRANGE SIJUI GALFRIEND UNAHISI NI JINI

UMEPOST LEO HII UNAZANI WATU HAWANA AKILI

cheating-man.jpg
 
Jini mchepuko. Afu bado sijaprove kama ni jini, hajui kama nimeoa na hajawahi kuniuliza, imechangia kushindwa kuleta noma kwa sababu nisingekuwa na jinsi!

hizi stori sasa!! so jini huwa hakupigii na kukwambia kuwa naona uko na mama watoto?!
you can fool some people sometimes,, but not all people all the time. #d .i.c.k head#
 
Mchepuko yule wewe masai dada, ndo huyu niko nae afu hajui kama nimeoa ndo mana nimeshindwa hata kumzingua mke halali!

hakuna kitu ulisema ni mchuchu wako

nimefatilia reply zote wewe yule ni mtu wako wa karibu(according to that thread na jinsi ulivyokua unajibu watu)
wewe sema natumia simu siwezi kukuunganishia pale

THIS IS JF HOME OF GREAT THINKER

ukiwa muongo usiwe msahaulifu
 
Ungerudi ghafla nyumbani....na akukute ukiwa umelala, then umwambie nimepata habari zako ndiyo maana nakufuatilia. Sidhani kama kwenye nyumba ndogo uliweza kitu zaidi ya kumpatia pesa tu. Kwa sababu yale mambo yanaendaga na psychology
 
hizi stori sasa!! so jini huwa hakupigii na kukwambia kuwa naona uko na mama watoto?!
you can fool some people sometimes,, but not all people all the time. #---- #

ni muongo sana huyu

NIMEMBANANISHA HAPO

kumbuka uzi wake alisema eti huyu baby wangu nikimuwazia kitu anajua

KWANINI ASIJUE ANA MKE

peleka FESIBUUUK HUUU UJINGA
 
Back
Top Bottom