masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,581
- 20,216
Mbwa kala mbwa ila siiamini sana hii habari
Mchepuko yule wewe masai dada, ndo huyu niko nae afu hajui kama nimeoa ndo mana nimeshindwa hata kumzingua mke halali!
Naona masai dada unahasira, critical thinker hachukii bhana! anashauri! sometime we care much ideas and things which happens in the society than raising our temper!
ni muongo sana huyu
NIMEMBANANISHA HAPO
kumbuka uzi wake alisema eti huyu baby wangu nikimuwazia kitu anajua
KWANINI ASIJUE ANA MKE
peleka FESIBUUUK HUUU UJINGA
huyu jamaaa muongo
leo hii alipost anasema my baby is strange
kasome ule uzi alafu utajua tatizo lake
Nshausoma, nikaignore nadhani....
NACHUKIA MAANA UNAOMBA USHAURI WA UONGO
kuna nyuzi nyingi humu watu wana shida haziangaliwi kama hizi za uongo
KWA KIFUPI HAIPENDEZI
haya kiri ni ipi ya uongi,ILE YA MCHANA,HII AMA ZOTE
kweli dada angu,, hawa ndo watu wanaoharibu haka kajukwaa ketu. maana anatuletea maigizo hapa,, hajui jf ni maisha halisi sema tu i.d zetu feki. shhenzzxy zake kabisa
Calmn down bhana, toa ushauri! yamenikuta mwenzio jamani!
Calmn down bhana, toa ushauri! yamenikuta mwenzio jamani!
Tuliozea jiji tunasema ngoma droo na tunaseti mambo mengine yaende kwenye mtandaooooo!Aliuza cheni kuaza cheni bandia, na alietoa pesa katoa pesa bandia! Salaleeeeeee!
Acha tu mama hapa ni porojo mwanzo mwisho....
yaani mimi nashindwa kuelewa why watu hubeba uhusika wa hatari namna hiii UBAZAZI?????
HAYA BEBA HIZO
SOKISI ZA BABAHaya..za kazi gani hizi na ni nini
Puliza upambe ndani....Haya..za kazi gani hizi na ni nini
USHAURI???UKO NA MCHEPUKOOO??
haya beba hizo