50/50 (Fifty fifty)

50/50 (Fifty fifty)

Anasahau kuwa alitoa habari nyingine karibuni
 
Mkuu it pains sana especialy kwa mwanaume kuona wife anaondoka na njemba afu yeye hana maamuzi!
Ni kweli inauma Mkuu lakini wewe ulikuwa katika mazingira magumu ambayo umejiwekea mwenyewe kwa uongo wako.

Pole sana,

Sasa ukirudi safari(usanii) ya kutunga utawezaje kuendelea na maisha yako ya kila siku na mkeo?

Nataka kujua Mkuu nini kitakachoendelea
 
Hilo ndo linaloniumiza sana, ila nadhani kufunguka huenda ikawa jambo jema ili turekebishane pia.
 
Kila la kheri,

Mtakuwa mmejifunza kitu na kuanza ukurasa mpya wa maisha pengine ajali iliotokea ni kwa ajili ya funzo kwa wote nyinyi wawili, nina uhakika hakuna atakaechepuka tena kati yenu.

Wewe funguka tu Mkuu
 
Safi sana kula na wewe uliwe!!! Wanawake na wanaume michepuko inabidi walipwe kwa michepuko tu ndiyo dawa yake. Tit for Tat!!!
 
Kila la kheri,

Mtakuwa mmejifunza kitu na kuanza ukurasa mpya wa maisha pengine ajali iliotokea ni kwa ajili ya funzo kwa wote nyinyi wawili, nina uhakika hakuna atakaechepuka tena kati yenu.

Wewe funguka tu Mkuu

Ila dahh! yahitaji moyo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom