5 benefits of dating a rich guy

5 benefits of dating a rich guy

Ndio maana tunasema ambao hawataki/pesa sio kipaumbele kwenye mahusiano ni wachache.

Ivi unaweza kukaa kwenye mahusiano halafu ipite wiki mbili(kwa uchache) usiombwe/asiombe hela!!?.

Ambaye amekupenda kutoka moyoni, kwanza mkiwa kwenye mahusiano hawezi kuwaza kukutegemea wewe kwenye mambo madogo madogo labda iwe dharura na hapo hana jinsi ndio ataweza kukuomba tena kwa excuse.
Siwezi Mwifwa. Mi nikiomba hela huwa nakua nimebanwa kweli. Kwanza sinaga matumizi yasiyo ya lazima na hela za mwanaume wangu. Kwa sababu hiyo hela tunayoitumbua si bora tusave tu.
Bf alihamia Mwanza baada ya kumaliza chuo. Sasa akaniita Mwanza. Akaniambia nikakate ticket ya ndege. Nikawaza kulipoa ticket go and return, bado nikifika nitakaa hotel, bado atanitembeza kidogo. Nikaona gharama tu zisizo na maana wakati ile hela anaweza kuisave. Nilimwambia nitapanda bus (ilikua first time kwenda Mwanza). Sasa na yeye pale ndo aliamini kumbe huyu wala hana makuu kwenye hela kama anavyoonekana. Lakini ingekua ni limtu tu chief angenikatia ticket ya flight kama hawezi basi.
 
Sentensi ya mwisho ni madini
Atabisha tena lakini. Mwifwa haamini kabisa mapenzi bila pesa.
Kwenye ile mada kuna wapo waliosema wanataka waanze na mwanaume toka chini(starting point) jambo ambalo lilionesha kuwa upendo ndio kipaumbele maana hata kama hana hivyo vitu ataweza kuwa naye na kuvumilia hiyo hali.
 
Popote nitakapomkuta kama nimempenda nitaendelea nae. Siwezi nikampenda Bakhressa kwa dhati eti nisimpende kwa sababu nimemkuta ana kila kitu. Iwe chini au wapi nitakapompenda nitaendelea nae hapo hapo.
 
Siwezi Mwifwa. Mi nikiomba hela huwa nakua nimebanwa kweli. Kwanza sinaga matumizi yasiyo ya lazima na hela za mwanaume wangu. Kwa sababu hiyo hela tunayoitumbua si bora tusave tu.
Bf alihamia Mwanza baada ya kumaliza chuo. Sasa akaniita Mwanza. Akaniambia nikakate ticket ya ndege. Nikawaza kulipoa ticket go and return, bado nikifika nitakaa hotel, bado atanitembeza kidogo. Nikaona gharama tu zisizo na maana wakati ile hela anaweza kuisave. Nilimwambia nitapanda bus (ilikua first time kwenda Mwanza). Sasa na yeye pale ndo aliamini kumbe huyu wala hana makuu kwenye hela kama anavyoonekana. Lakini ingekua ni limtu tu chief angenikatia ticket ya flight kama hawezi basi.
Sawa.
 
Popote nitakapomkuta kama nimempenda nitaendelea nae. Siwezi nikampenda Bakhressa kwa dhati eti nisimpende kwa sababu nimemkuta ana kila kitu. Iwe chini au wapi nitakapompenda nitaendelea nae hapo hapo.
Lakini kwa sasa mnafight mpate japo mwenye hela ili iwe nafuu kwenu, huu ni ukweli usiopingika
 
Mwifwa moyo haupangiwi. Ukipenda hata mtu hana pa kuishi unampenda. Nilikwambia juu. Wanawake wengi huwa tuna ndoto za kupenda wanaume wenye hela. Ila inatokea unampenda mtu hana kitu na unaona sawa tu wala humuachi kwa sababu ulitaka gari na yeye hana ila kwa sababu umempenda unaendelea nae tu gari mtatafuta wote
 
kwa wanawake wa sasa hapa ni pagumu.
 
Kupata mwanake wa fast na ambaye mwenye upendo wa dhati bila kuweka pesa kuwa kipaumbele ni changamoto kwa sasa.

Ila ukitaka kupata mwanamke fast lazima uwe na pesa utwapata wengi sana
Acha tusake pesa sasa. ambayo madhara yake pia si mazuri, maana utasaka pesa alfu hutakuwa na mda wa kutosha kuwa na huyo unaemsakia pesa, mwisho wa siku gardener anakuwa anajilia tu. maisha hay kila kitu ni changamoto
 
Mwifwa moyo haupangiwi. Ukipenda hata mtu hana pa kuishi unampenda. Nilikwambia juu. Wanawake wengi huwa tuna ndoto za kupenda wanaume wenye hela. Ila inatokea unampenda mtu hana kitu na unaona sawa tu wala humuachi kwa sababu ulitaka gari na yeye hana ila kwa sababu umempenda unaendelea nae tu gari mtatafuta wote
Ninyi vigezo vyenu kumpenda mwanaume havitabiriki hata kidogo, leo mtasema pesa, kesho mtasema kile kesho kutwa kingine.

Ivi kigezo cha tabia njema huwa mnakisema kweli maana hapa ndio mzizi wa upendo uliopo ila kutokana na kutaka mambo yawe mazuri pindi ukijiingiza kwenye mahusiano unajikuta pesa ndio imekuwa kipaumbele.
 
Hapo inategemeana na mwanaume jinsi atakavyoendesha mambo. Akiwa na ratiba nzuri za kusimamia mambo yake atakuwa na muda pia wa kukaa na mke/mwanamke wake bila tatizo kabisa.

Japo wapo ambao wako addicted nakutafuta pesa, hata kama anazo nyingi anaona haitoshi anaendelea kukaza ili apate zaidi kiasi kwamba anakosa muda wakukaa pamoja na familia yake hapo ndipo anaamua kuwatimizia kila ili aendee na shughuli zake.

Kutokuwa karibu na unayempenda pia ni changamoto hata kama anakutimizia kila kitu.
Upo sahihi..
 
Back
Top Bottom