5 benefits of dating a rich guy

5 benefits of dating a rich guy

Sijui kama nitakuwa nje ya mada, wanawake wengi bado wanatumika kingono kwenye nyadhifa za kisiasa, maofisini, michezoni n.k kuna dhana kwamba wanawake wanapenda urahisi(slope), so pale mwanaume anapokuwa na hela au madaraka atamtumia anavyotaka.
Ushauri wangu kwa wanawake, try hard to be strong, kataa kudhalilika utu wako na tambua thamani yako, utashinda.
 
Back
Top Bottom