DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,503
- 29,912
Daaaaaaaah sio vizuri. Cha mtu akiliwi bureSasa jamani niko single halafu kuna mtu kajitolea kunipa hela zake nisimkubalie kwanini? Hujui wanasemaga if you can't find love find money
Daaaaaaaah sio vizuri. Cha mtu akiliwi bureSasa jamani niko single halafu kuna mtu kajitolea kunipa hela zake nisimkubalie kwanini? Hujui wanasemaga if you can't find love find money
Ushanipa kazi ya ushenga tena duuuu😀..wee tuliza kichwa usiwe na papala za mapenzi utapata mwanamke wa kweli mpaka ushangae.Ukimpata mmoja niambie nifanye nae mazungumzo
maisha bila unafiki hayaendi mkuu.Ama kweli maisha bila unnafiki hayaendi. Leo naona dada zangu wote pesa kwenu sio muhimu. Amazing
Huko nako periphery sana. Naanzaje kufunga safari toka huku Mbagala had call me jay.Koromije wengi tu wapo.
HahahahahahaaaaaLabda vyuma vilipokaza na wao wamelegeza matakwa ya pesa.
Upo kwenye kundi lipi mpenzi?Sio kweli rrondo...tuna mapenzi ya dhati kabisaa..
Huwa si-date wapenda pesa. Nikikuona pesa mbele napita kama gari ya F1!Hahaha itabidi aangalie njia zake
OK hapo nimekuelewa.Sasa una mapenzi ya kweli. Tunapotofautiana ni wewe kusema MPO WENGI,hamko wengi mko wachache sana.
My dear wanawake wengi huwa tunatamani tupate wanaume wenye hela tuwapende ikatokea nimempenda ambae hana hivyo vitu wala simkatai wakati nimeshampenda.Hata mimi nimeshangaa sana, eti leo wanajifanya wako tofauti ilihali kila siku ni kelele humu kuhusu pesa.
Juzi tu hapa kulikuwa na mada ambao ilihusu kitu ambacho wanawake wangependa mwanaume awe nacho, wengi walipendekeza magari ikiwemo Mzigua90, wengine nyumba, vitu ambavyo lazima uwe na pesa ndio uweze kuvimiliki.
Lakini leo wanakuja na mawazo tofauti, hawaaminiki hawa wanawake
Kwan mtu mwenye papara anakuwaje.Ushanipa kazi ya ushenga tena duuuu😀..wee tuliza kichwa usiwe na papala za mapenzi utapata mwanamke wa kweli mpaka ushangae.
Sili bure si tutakua tuko kama wapenzi wengine yeye ataona kapendwa kumbe walaaaaDaaaaaaaah sio vizuri. Cha mtu akiliwi bure
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maisha bila unafiki hayaendi mkuu.
hivi viumbe usiviamini kamwe labda mama ako tu ambaye baba ako nae hamuamini.
Upo kwenye kundi lipi mpenzi?
Kundi LA mapenzi ya dhati.Upo kwenye kundi lipi mpenzi?
Si hutak sisi wanyonya wallet [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huko nako periphery sana. Naanzaje kufunga safari toka huku Mbagala had call me jay.
Nayo ni nzuri why muuziane mapenz.?Huwa si-date wapenda pesa. Nikikuona pesa mbele napita kama gari ya F1!
Njoo basi nikuoe.Kundi LA mapenzi ya dhati.
Namaanisha age groupKundi LA mapenzi ya dhati.
Kuigiza kipaji ujue. ipo siku yatakushindaSili bure si tutakua tuko kama wapenzi wengine yeye ataona kapendwa kumbe walaaaa
Chukua muda wako kumfahamu MTU kabla hujaamua lolote.Kwan mtu mwenye papara anakuwaje.
Kwa vyovyote lazima ni approach sasa hapo kuna uwezekano mkubwa wa kupata golddigger.