funzadume
JF-Expert Member
- Jan 28, 2010
- 13,566
- 21,048
hilo jina uliloniita umenifanya nijisikie raha ungekuwa karibu ungepata hata chupa ndogo ya Amarula ukanywe w/end kweli mwanamke anaweza akakupa maneno matamu ukajikuta unahonga bila kutarajia, heh hivi topiki ni ipi tena?:tonguez:sweetheart changia tu unakaribishwa