4 The Ladies,if your BF/Husband Slaps U Whats your Best Reaction?

ah ah ah nenda kamwambieeeeeeeeee ahaaaaaaa jinsi navyomp..........,au kama mapenzi bado ahaaaaaaaaaa,huujui wimbo huu ma?

Utaletewa ujumbe uwe tayari kuupokea kwa mikono miwili na pia mgeni hawezi kuondoka bila majibu kwahiyo shurti utoe majibu kusudi arudi nayo
 
Mkuu kwanza hebu niondolee cheo cha pope kaizer...si unajua sistahili hata kufungua gidamu zake??:hand:...am only a secretary general....:ranger:...
Jana (infact nimetoka pale leo alfajiri) bana dah.....sijui jioni itafika saa ngapi..sorry off topic!

Dah sijui hangover bado haijanitoka kichwani "Eliza naomba uniletee supu ya ngombe na chapati mbili na valuu nizimue"
 
Akinislap kokote pale nitasubiri mpaka asahau kabisa then nitamuuliza why did u slap me? hapo atatoa sababu zake, unajua FL1 saa zingine hizi hasira ni hasara kwa hiyo hutakiwi kukurupuka, jambo kama hilo likitokea unatakiwa urelax then muongelee tatizo lilotokea wakati tofauti kabisa, yataisha bila wewe victim kuwa na kinyogo.
 
Uamuzi mzuri sana unapunguza kuanzisha matatizo mengine ambayo yangeweza kutokea huko mbeleni, honestly i have never slapped a woman and I will never do it so help me god.
 
Mambo ya kupigana hayafai hata kidogo.
Itabidi atoe maelezo kwa nini kanipiga kwani kashindwa kusema na mie mpaka achukue uamuzi huo?
 
Akinislap kokote pale nitasubiri mpaka asahau kabisa then nitamuuliza why did u slap me? hapo atatoa sababu zake, unajua FL1 saa zingine hizi hasira ni hasara kwa hiyo hutakiwi kukurupuka, jambo kama hilo likitokea unatakiwa urelax then muongelee tatizo lilotokea wakati tofauti kabisa, yataisha bila wewe victim kuwa na kinyogo.

good one
 
I suggest if it happens the best way is to keep quite and take your BIBLE and start reading it after sometime he will come back to you saying sorry i didn't meant to slap you sasa hapo ndio mnaanza kucompromise na kuanza kumueleza thats not the right way mnayamaliza on the spot, you smile, you hug each other and say "I love you" mambo yanaisha vizuri
 
jamani yangu mi mafupi tu... huwa namslap kimahaba....eeh...watu wazima hapa nadhani mshanifaham:tonguez:
 
Nikipata hasira nakuwaga SIONI KABISA -JUST GIZA NENE kwa hio siwezi kupiga kofi. Na kikubwa waswahili hasa wa mwananyamala na kinondoni husema mwanamke anapigwa na vitu vikuu 2 upande wa khanga na 2.......?malizieni wenyewe
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom