4 The Ladies,if your BF/Husband Slaps U Whats your Best Reaction?

ha ha ha ha ha ha habari za asubuhi The Finest ? naona tumesahau kujuliana khali .

Nasema Hapana RR..umesoma PM yako leo

Si ndo maana nikamwambia Finest asitegemee useme ndiyo hadharani....pm yako nimeiweka sehemu salama (kwenye kumbukumbu za kikao chetu)..:couch2:
 
mummy let me tell u ladies,najua a perfect man hata siku moja hawezi ku react kwa manamke kwa kumpiga,hata kama umemkosea the best way is kuongea,sasa mimi mwanaume akinipiga namuhesabu kama hajakamilika,and you guys hakuna kitu ladies tunachukia kama kupigwa ni unyanyasaji,mbona nyie mkikosea hatuwapigi? mi mtu akinipiga walahi hata kama siwezi kuishi bila yeye itabidi nijifunze na ntakusaha maishani mwangu damn!

inategemea amekulabua kwa sababu gani sometimes wanawake wanasababisha kulabuliwa. Unaweza kuulizwa swali ukaja juu kama moto wa kifuu na kwa sababu wenzetu huwa hawezi kuchonga kama sisi ndio anaamua kukulabua moja la nguvu na kushtukiza ili utulie muanze kuongea kwa utulivu. Some time huwa isaidia (lediiis na mamisez mtanisamehe)
 
me sitaki mambo ya kulabuana kwani akisema bila kunilabua atakufa?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom