4 The Ladies,if your BF/Husband Slaps U Whats your Best Reaction?

Jaribu kutikisa kiberiti kwa siku moja tu uone.
Lakini ukipigwa kiukweli huyo mtu anakupenda sana kama hakupendi hawezi kukupiga.
Angalia hata muembe wenye matunda mazuri hupigwa mawe.

Mh.... hii reference sina uhakika nayo....:A S 39:
 
Hii imekujaje kwenye hii topic....?? :confused2::confused2::confused2::confused2:

Mnakumbushwa wananchi wa Kawe mkumbuke kuna Halima Mdee kule.
Mpeni kura zenu kijana mpambanaji kiboko ya Makamba
 
Mh.... hii reference sina uhakika nayo....:A S 39:

Kama huna uhakika nayo waulize wazazi wa zamani watakwambia...
Vijana wa siku hizi mnapenda mapenzi ya Isidingo ukizabwa kibao maanake mpenzi wako anakupenda na kukuthamini anakuweka sawa kesho usirudie tena hata wewe ukiona yeye amekosea mzabe kibao na uhakika hawezi kujirudishia atakuwa mnyonge ndo UPENDO huo jamani.
 
jamani pole Mrs, siku nikikutana naye huyo mjamaa wako namgonga makusudi! si ndio eeh:A S 13:

ndio kabisa my love, yaani kwanza halikuamini kama na mipango ya ndoa yote nimeictisha, "ooh jamani nimekutambulisha nyumbani itakuwaje"...khaa univunje kiuno kisa mamako/babako/na ndugu wamenijua?
 
wewe una wenge la mshahara au? mfano wa kwanza ni kwamba anaenda anakokujua, i mean bar kunywa au matembezi anayoyajua yeye na anarudi home hacra zikiwa zimepungua, mfano wa pili ni aliondoka home lakini alikuwa mahali ambapo nilikujua na pa usalama kabisa ili apunguze hacra zake tu,(ckuweza kwenda alopokuwa kwa sababu binafs)...so nilitaka yeye ndio arudi home tuyaongelee sio mie kumfata huko alipokuwa na kuyaongea, ishu ni kwamba alikuwa hataki kupokea calls/ku reply sms zangu, (k2 ambacho kilikuwa kinaniuma sana) lakini watu wengine anawacliana nao kawaida esp ma sis, na walikutana huko alipokuwa na kumuelezea kwanini mambo yamefikia yalipofikia, sio kwamba alienda kutafuta hao unaowasema, yaani akae mahali week nzima akitafuta changudoa?....jamani!
anyway ila jaribu kuzuia hayo yasitokee tena mie kwa sasa niko kwenye program maalum yakurudisha upendo ule wa kipindi kile cha kumvizia wife akienda dukani nione italeta matokeo gani nimeanza tena kununua kadi za i luv u na maua na pia najipanga kuandika bonge la barua sio meseji za simu

I love my wife ingawa hata vikombe uwa vinagongana kwenye kabati hakuna aliye perfect 100% but nampenda na ndie mtu wangu wa karibu kuliko wote nilioishi nao karibu duniani
 
mamy inategemea kakuslap wakati gani,mkiwa kwenye malove davi zen kisses zitakuwa nyingi ntampa,ikiwa mbele ya watu duh kaniaibisha lkn siwezi mrudishia bali ntamwambia kwa upole"mpz naomba nikikukosea tena usinipige mbele ya watu,naomba niite pembeni na uniambie kosa langu,najua mm ni binadam na wala si malaika,nisamehe kwa nilokukosea leo na sitarudia tena,nami nimekusamehe kwa kunipiga mbele ya watu,I love u dear,mwaah".:tonguez:
pearl we mkali ka nakuona vile unazungusha shingo kulia kutoa state ment mh hongera sana kama una maanisha.
 
hilo jina uliloniita umenifanya nijisikie raha ungekuwa karibu ungepata hata chupa ndogo ya Amarula ukanywe w/end kweli mwanamke anaweza akakupa maneno matamu ukajikuta unahonga bila kutarajia, heh hivi topiki ni ipi tena?:tonguez:

hahahahahah tuma kwa DHL FD
 
anyway ila jaribu kuzuia hayo yasitokee tena mie kwa sasa niko kwenye program maalum yakurudisha upendo ule wa kipindi kile cha kumvizia wife akienda dukani nione italeta matokeo gani nimeanza tena kununua kadi za i luv u na maua na pia najipanga kuandika bonge la barua sio meseji za simu

I love my wife ingawa hata vikombe uwa vinagongana kwenye kabati hakuna aliye perfect 100% but nampenda na ndie mtu wangu wa karibu kuliko wote nilioishi nao karibu duniani

hilo nimeshafanikiwa Funzadume, cku hizi tukileteana hitilafu kama naona vipi bac nitakaa kimya cmjibu hata aulize nini, unajua hii mambo ya kujiana juu juu nimeona haina faida kabisa, so cku hizi nikimuona yupo juu mie nashuka chini kwa wakati huo mpaka tutulie toyaongee, imesidia sana hii....
 
Kumbe mbege ikilala mkichwa huwa unaongea point nzuri sana namna hii.
Hongera sana.
 
niliwahi kupigwa na bfrnd, tena kwa mambo ya kijinga ya wivu wivu tu, mara ya kwanza alini slap tu nikajua kapitiwa, mara ya pili ndio alinipiga ile kupiga kama vile anapigana na mwanaume mwenzie, nilitoka hapo kutembea cwez, ukangalia alama za mkanda ndio balaa, huyu nilimtamkia hapo hapo kwamba dk hii ulivyomaliza kunipiga ndio mwisho we2 na ilikuwa kweli, alibembeleza sana tu lakini wapi, kwa mr ana hacra za kumtosha tunalumbana vya kutosha, lakini yeye ana ile atatoka kwenda anakikujua, akirudi hacra zimepungua au hata kesho yake tunaweza kuongea ki utaratibu, kuna kipindi nilimuudhi kiac cha kwamba aliondoka home week nzima, cm zangu hapokei, sms hajibu na cjui yupo wapi,nilikuwa natamani hata apokee, a reply sms coz naju nilimuudhi lakini wapi, alirudi amenikuta nimenyong'onyea sana, ile adhabu ilikuwa kubwa aiseee, coz nilitaabika sana, aliniambia nilimpandisha hacra akatamani kunipiga lakini akaona italeta shida zaidi so akaamua achukue adhabu hiyo, iliniumiza sana.

week bila mawasiliano naweza kuugua mie
 
Kumbe mbege ikilala mkichwa huwa unaongea point nzuri sana namna hii.
Hongera sana.

haaa wachana na mbege, na ndio nainywa hivyo hapa ofcn....weekend nilitoka nayo njoro, bac najibebea kidogo kidodgo nakuja nayo kwa ofc, haaa pizza na mbege, kweli mchaga ni mchaga tu...lol
 
orait orait unajua nimechanganyikiwa haka kabinti kananiambia kana mimba yangu duh:A S-rose::A S-rose:

heheh....wakati una-do ze nidful si ulikuwa unafurahia lakini mwenyekiti.....
 
haaa wachana na mbege, na ndio nainywa hivyo hapa ofcn....weekend nilitoka nayo njoro, bac najibebea kidogo kidodgo nakuja nayo kwa ofc, haaa pizza na mbege, kweli mchaga ni mchaga tu...lol

Ndo maana mm nikakushtukia leo vp mbona unashusha mipini ya uhakika kumbe lol...
Lakini jamaa akikuzaba kibao inamaanisha anadumisha mila na anakupenda sana keep it up.
 
Hii mada ishachakachuliwa (na wanaume) basi na mie ndo naitia kabisaa maji ya tope yaishe!!!!

Dume likikupiga kibao we litandike vichwa kama saba hivi, hapafu unampa vifuti viwili na ukimaliza hapo unalicha kipepsi ya mgongo... na bonge la ngwara

likiamka unalituma likakusongee ugali aaaiiiiiiiiiii.... :A S wink::bump2::crazy:
 
Back
Top Bottom