4 The Ladies,if your BF/Husband Slaps U Whats your Best Reaction?

sweetheart changia tu unakaribishwa
hilo jina uliloniita umenifanya nijisikie raha ungekuwa karibu ungepata hata chupa ndogo ya Amarula ukanywe w/end kweli mwanamke anaweza akakupa maneno matamu ukajikuta unahonga bila kutarajia, heh hivi topiki ni ipi tena?:tonguez:
 
on my behalf changia....wewe ulishawahi kumlabua mama?
mmmh unasemaje? haaa na wewe maswali yako Nyamayao........ sijui nikimbiee haaa kweli umenishika pabaya lol ...jamani tutaonana baadae naenda kula lunch aaah no kunywa supu
 
Nikipata hasira nakuwaga SIONI KABISA -JUST GIZA NENE kwa hio siwezi kupiga kofi. Na kikubwa waswahili hasa wa mwananyamala na kinondoni husema mwanamke anapigwa na vitu vikuu 2 upande wa khanga na 2.......?malizieni wenyewe

Good one.
 
hilo jina uliloniita umenifanya nijisikie raha ungekuwa karibu ungepata hata chupa ndogo ya Amarula ukanywe w/end kweli mwanamke anaweza akakupa maneno matamu ukajikuta unahonga bila kutarajia, heh hivi topiki ni ipi tena?:tonguez:

haaa yaani kuitwa hivyo tu umeshachanganyikiwa kiac hicho....lol
 
mmmh unasemaje? haaa na wewe maswali yako Nyamayao........ sijui nikimbiee haaa kweli umenishika pabaya lol ...jamani tutaonana baadae naenda kula lunch aaah no kunywa supu

inaonekana kabisa umeshamlabua...kwanini?
 
Reaction kwa slap inategemea sana na kosa lako.....
Hivi kwa mfano ukifumaniwa uki-infidelize, will you mind if are rewarded with just some few slaps?? Hope utashukuru....
 
mhhh, anilabue halafu anitimulie kwetu au anilabue halafu tunaendelea na maisha, kama tunaendelea na maisha sawa...lol
 
Akulabue halafu akulabue na nanhii (hapa si kuna watoto??).....halafu akuambie sikufukuzi!
 
unadhani kuitwa sweet heart ni kitu kidogo. Jaribu kumuita Mr. wako hivyo uone kama hutaliona jino lake la kusagia mifupa

darling....cku nikibadili ujue kuna kitu nataka(naomba/nina shida) so nabembeleza...lol
 
Akulabue halafu akulabue na nanhii (hapa si kuna watoto??).....halafu akuambie sikufukuzi!

hiyo ki2 ni ngumu sana kwa mwanaume, yani akufumanie akulabue akusamehe? cjui! wengi wanalabua na kukutimua kama hakufahamu vile, kazi kweli.
 
mummy let me tell u ladies,najua a perfect man hata siku moja hawezi ku react kwa manamke kwa kumpiga,hata kama umemkosea the best way is kuongea,sasa mimi mwanaume akinipiga namuhesabu kama hajakamilika,and you guys hakuna kitu ladies tunachukia kama kupigwa ni unyanyasaji,mbona nyie mkikosea hatuwapigi? mi mtu akinipiga walahi hata kama siwezi kuishi bila yeye itabidi nijifunze na ntakusaha maishani mwangu damn!
 
hiyo ki2 ni ngumu sana kwa mwanaume, yani akufumanie akulabue akusamehe? cjui! wengi wanalabua na kukutimua kama hakufahamu vile, kazi kweli.

Ilitokea kwa jamaa tulikua nae chuo (ilikua ni g/f, b/f status)....jamaa alimchapa msichana vibao vya kutosha, kisha kwamwambia sikuachi...:couch2:
 
hapo naelewa ,jamaa hakuweza kumwacha ghafla mpaka apate mahalipa kujishikiza upya(au walikuja kuoana?),,,but kwa mke/mume hiyo ishu ni ngumu aisee, mume akufumanie halafu muendelee na maisha, cjawah kuona hii kitu.
 
Back
Top Bottom