Nipo 36, ila najihesabia niko 44 ili nipate hasira zaidi ya kutafuta.
Kiukweli hapa nilipo ni Mungu tu, zaidi ya kujibana ( sinywi pombe, sihongi sanaaaa) kiuchumi sijahustle sana kupambania maisha.
Kwa wapambanaji sky is the limit , ukisema naweza hakuna wakukuzuia labda kama unawaambia watu wasiohusika.