3 Months rule

3 Months rule

Miezi mitatu naweza nisiguse pombe kabisa,nisivute sigara wala bangi,nisiende Corner Bar kununua na nikawa nashinda church ili unione smart nikipewa mzigo niliousotea nasepa zangu,ndoa ni zaidi ya tuijuavyo huu ni muunganiko mtakatifu mara zote tunapanga mengi kuhusu wenza wetu lakini kinachokuja kutokea Mungu ndio anajua.
 
miezi mitatu ni mila tu za kiafrika.. wengine husema miezi 6 lakini sidhani kama inasaidia sana sababu wengine pia wamekaa hadi miaka 5.. kwa sasa cha msingi ni kuomba tu ubahatishe kupata yule ambaye yupo real.. ulimwengu umeharibika...
 
Mitatu mingi sasa.....ndio mwanzo wa kuchokana huo.
 
Miezi mitatu?? Tabia Ni kama ngozi ngumu kuificha wala kuibadili ndani ya mwezi unaeza kuelewa tabia ya mtu halisi
 
Kuna ma drama queens n kings hatar miez mitatu MBNA michache sana
 
Back
Top Bottom