Kibongobongo mkuu hapo ndio urefu wa kamba yake, ukiongeza room nyingine anashindwa kumaliza nyumba.Aongeze chumba Vip watu wake wa karibu wakija kumtembelea kwa mfano wazazi watalala lounche au chumba kipi,mfano kajaliwa watoto jinsi tofauti me na ke
Choo cha public kipo mbali sana. Jaribu hapo kwenye hicho chumba ambacho ni self contained, hicho choo chake ndio kiwe public halafu self contained room kiwe kile kingine huko mwishoni.
Halafu sijaona sababu ya kuweka mlango hapo ulipopaita walkway.
Halafu chora kwenye hiyo AutoCAD kabisa kwa sababu hapo umechora kwa mkono unaweza ukaona spaces zimekaa vizuri ila ukishaweka huo mchoro kwenye hiyo program ya kuchora mara nyingi huwa haitokei kama ulivyochora kwa mkono.
# they are just my opinions mkuu. Kila la heri
Okay, hem shauri hapo iwekwe vipi hiyo closet mkuu.
Mimi ni mmoja wa wasiopenda corridor nyingi.Uko sahihi 100% mkuu, siku hizi naona watu hawapendi corridors sana ili kupunguza ukubwa wa nyumba. Mimi naona corridors ni muhimu, yaani nyumba ikikosa corridors naona haina space. Ushawahi kuiobserve hii kitu?
Hamna tabu yoyote, wengine tunabana matumizi tuHivi kuna shida vyumba vyote kua master? Nilikua nafanya kazi ya kutengeneza domes kwa mhindi fulani nikakuta nyumba ya vyumba vinne vyote ni master. Vina closet, ukubwa sawa na bafu na choo. Kisha kuna bafu na choo kwa ambaye atakua sebuleni.
Sijakutana na nyumba nyingine ya hivyo. Kuna shida kifundi?
Space inapatikana kwenye big rooms,big sitting room,big kitchen. Corridor is just unused space hakuna mtu anakaa kwenye corridor.Mimi napenda nafasi, corridor inafanya nyumba kuwa na space kiaina.
Huyo katoa walk-in closet kakuwekea kabati!Labda kwa vile haipo kwa mchoro rasmi, ila walk-in-closet nyingi mtu anatoka chumbani anapita kwa wardrobe anaenda zake washroom
Bad design.Labda kwa vile haipo kwa mchoro rasmi, ila walk-in-closet nyingi mtu anatoka chumbani anapita kwa wardrobe anaenda zake washroom
Unaelezea 100% kama alivyo ni designia nyumba Mke wangu.Kama ni Dar, angalau room iwe na madirisha mawili na kuendelea kutokana na joto na diririsha liwe na 3m na kendelea, chumba cha kulala master bedroom kiwe na 4x3m na kuendelea kusudi ya hewa na kabati la nguo,
Master bedroom ianzie 4x4m iwe na sehem mtu anaweza kukaa kama akija mgeni kumsalimia mama aliejifungua, sehem ndogo ya viti viwili
Jiko liwe kubwa ndio sehem ya mwanamke kujidai, nadhani store haina umuhimu sana maana makabati ya jikoni ni store tosha,
Sebule ambayo ndio uwanja wa mwanaume uwe mkubwa angalau 5x4.
π π πBad design.
Imetoka kukataa gogo halafu unapita katikati ya nguo safi .
Design ya kihindi.
Ngoja wapare waje utani tuNimeanza kucheka kwanza....kuna mtu atasema 'chumba cha watoto wa kiume na kike visipakane na chumba chako kisitazamane na vyumba vya watoto' nawaza kwa sauti tu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Choo cha public mbona wageni watakuwa wanachungulia vyumbani?
Kuna sehemu nako hivyo hivyo, kila chumba ni master.Hivi kuna shida vyumba vyote kua master? Nilikua nafanya kazi ya kutengeneza domes kwa mhindi fulani nikakuta nyumba ya vyumba vinne vyote ni master. Vina closet, ukubwa sawa na bafu na choo. Kisha kuna bafu na choo kwa ambaye atakua sebuleni.
Sijakutana na nyumba nyingine ya hivyo. Kuna shida kifundi?
Ondoa ukuta wote ndani ya living room, ondoa ukuta unaogawa living room na kitchen badala yake weka wooden frame tuili iwe open dinning and kitchen its more fashionable and less expensive .ondoa mlango kwenye kolido its not needed.Kabla haijawekwa kwa AutoCad, toa changamoto yako hapa, nini kimekosewa, nini kipo sawa...wapi parekebishwe..[emoji116]View attachment 2240747
Kuna vitu kama kiroba cha unga, maharage, sukari, mkungu wa ndizi, mafuta ya kupikia hizo huwekwa hapo store for easy accessibility.Kama ni Dar, angalau room iwe na madirisha mawili na kuendelea kutokana na joto na diririsha liwe na 3m na kendelea, chumba cha kulala master bedroom kiwe na 4x3m na kuendelea kusudi ya hewa na kabati la nguo,
Master bedroom ianzie 4x4m iwe na sehem mtu anaweza kukaa kama akija mgeni kumsalimia mama aliejifungua, sehem ndogo ya viti viwili
Jiko liwe kubwa ndio sehem ya mwanamke kujidai, nadhani store haina umuhimu sana maana makabati ya jikoni ni store tosha,
Sebule ambayo ndio uwanja wa mwanaume uwe mkubwa angalau 5x4.
Yeah, kwangu store ya ndani ni lazima. Hata kama nitakuwa na store ya nje...kuwa na store ndani kwa ajili ya vitu vya ndani ni muhimu.Kuna vitu kama kiroba cha unga, maharage, sukari, mkungu wa ndizi, mafuta ya kupikia hizo huwekwa hapo store for easy accessibility.