The Dictator
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 4,421
- 12,109
ARE YOU HAPPY WITH YOUR LIFE?
Swali rahisi… lakini jibu lake si rahisi kwa wengi.
Kila siku tunaamka, tunafanya kazi, tunatafuta pesa, tunajenga mahusiano, tunapambana na changamoto. Lakini mwisho wa siku ukiwa peke yako, bila kelele za dunia unaweza kusema kwa dhati kuwa unafurahia maisha yako?
• Je, unaishi maisha unayotaka au unafuata mkondo tu?
• Furaha yako inategemea nini pesa, watu, mafanikio, au kitu kingine?
• Kama jibu ni “hapana”, ni nini kinakuzuia kubadilisha hali yako?
Watu wengi wanaonekana wako sawa nje, lakini ndani kuna maswali mengi ambayo hayajapata majibu.
Toa maoni yako kwa uhalisia hakuna jibu sahihi au baya.