21 march......!

21 march......!

Eliezar Mlwafu

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
449
Reaction score
140
Nisiku na tarehe Niliyo zaliwa!kuifikia hii siku ya leo ni kwaneema tu za Mungu,Naamini tupo wengi tulio zaliwa tarare ya leo,Nijambo la kumshukuru Mungu wengi walisha tangulia ambao leo wangekuwa na miaka kama yetu.kila mtu kati yetu ana historia ya maisha yake toka alipo zaliwa,Tukiwa katika kipindi hiki kigumu Tukumbuke kumrudia Mungu na kuungama dhambi zetu katika ROHO na kweli,Nawatakieni Maisha marefu yaliyo jaa baraka,Mafanikio,Amani na Upendo siku zote za uhai wenu hapa Duniani Mlio zaliwa 21 march....! HAPPY BIRTH DAY ALL OF THEM

Sent from my BlackBerry 9780{katefar}
 
Ahsante sana kwani hata nami niliambiwa na wazazi wangu nilizaliwa tarehe hii na mwezi huu,
Hivyo namshukuru sana MUNGU kwa kuniwezesha kufikia salama tarehe hii njema kwangu. Kubwa zaidi namshukuru sana MUNGU kwa kunisamehe dhambi zangu zote kwa njia ya kifo na kufufuka kwa mwana wa pendo lake Yesu Kristo.
Kwa kumwamini yeye tu nimesamehewa kabisa, sasa ninaishi katika yeye na nina uzima wa milele, sikustahili hayo ila ni huruma tu ya MUNGU na pendo lake kuu kwa wanadamu (yoh 3:16).
Hivyo sisiti kusema BWANA YESU ASIFIWE DAIMA MILELE. 1 Yohana 3:1-3.
 
nakutakia furaha na mafanikio tele... bado ndoa tuu!
 
ukisherekea cku ya kuzaliwa ujue pia cku za kuishi nazo ndo zinapungua polepole

happy birthday
 
unajua kuwa leo ni Equinox na inaadhimishwa na jamii nyingi duniani kama Mwaka Mpya!?
na je, unajua kuwa ndio siku inayoashiria kumalizika kwa baridi kwa nchi za Kaskazini na kupungua kwa fukuto/joto kwa nchi za Kusini mwa Equator kama Tanzania.

Well, kila la kheri
 
Happy Birthday eliezer
Happy Birthday na mie kwa kutimiza miaka 2 jf

Itabidi tukate keki
 
Ni siku yangu ya kuzaliwa pia.asante

Hongera nawe pia
 
Nawashukuru wote mlio nikakia mema siku hii ya leo ambayo naadhimisha na kukumbuka siku na tr niliyo zaliwa Mungu awabariki sana

Sent from my BlackBerry 9780{katefar}
 
images
 
Back
Top Bottom