Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,521
- 10,029
Mill 30 hauwez jenga nyumba ya maana .20M ya kujengea? Wtf! Una haraka gani sasa? Kama umeweza kuipata hiyo pesa yote unangoja nini hadi zifike 30M+ ili ukianza ujenge nyumba ya maana na uikamilishe kwa wakati.
Yaan Mill 17 aanze msing alaf afike hadi bati?.Hapo unaweza funika mpaka bati. Halafu ukaanza kujipanga na finishing mdogo mdogo.
Basi asikilizie hadi ikishafikia hiyo hela 80M kuliko kujenga upuuzi kama huo anaotakaMill 30 hauwez jenga nyumba ya maana .
Nyumba nzur ni Mill 80 hiv.
Yaan Mill 17 aanze msing alaf afike hadi bati?.
Bati zuri kwa nyumba ya wastani.
Nyumba vya vyumba vitatu.
Yenye mita 10 kwa 13.
Mbao , bati na ufund ni kati ya mill 10-15.
Kwa nini ujenge nyumba ambayo hatautaimaliza? Punguza ukubwa wa nyumba ili ujenge ambayo utaimaliziaHabari marafiki.
Mkononi nina kama 20m hivi,kuna kakiwanja kama ka 25×20 nimekapata morogoro road eneo linaitwa madafu kwa 3m,so mkononi nitabakiwa na 17m.je wakuu naweza kweli kujenga nyumba ya walau room 3 ikafika usawa wa lenta au niendelee kusubiri kwanza?
Nyumba inajengwa kwa miaka had mitano.Basi asikilizie hadi ikishafikia hiyo hela 80M kuliko kujenga upuuzi kama huo anaotaka
Kwan nyumba standard inakuwa na mita ngap kwa ngap?.Sio kweli mkuu kwa dimensions hizo ulizotaja; ukitaka tupige hesabu kwa uhalisia tunaweza fanya hivyo. Pia hakuna nyumba ya vyumba vitatu yenye dimensions hizo za 10×13 M². Hiyo ni ghala/godown unaisemea hapo. 😊
Kwan nyumba standard inakuwa na mita ngap kwa ngap?.
Upana vs urefu.
Mm yangu iko hivyo. Sikutaka kujibana.
Vyumba vitatu vikubwa vyote master.
Master bedroom kubwa kama sebule hizi za kawaida 😊😊😊😊
unasemea futi?Basi hivyo vipimo ni feet mkuu sio mita.
Upana mita 10Sio kweli mkuu kwa dimensions hizo ulizotaja; ukitaka tupige hesabu kwa uhalisia tunaweza fanya hivyo. Pia hakuna nyumba ya vyumba vitatu yenye dimensions hizo za 10×13 M². Hiyo ni ghala/godown unaisemea hapo. 😊
17m unatafuta ushauri? Wewe kaanze ujenzi hata ukiishia msingi ni mwanzo mzuri.Habari marafiki.
Mkononi nina kama 20m hivi,kuna kakiwanja kama ka 25×20 nimekapata morogoro road eneo linaitwa madafu kwa 3m,so mkononi nitabakiwa na 17m.je wakuu naweza kweli kujenga nyumba ya walau room 3 ikafika usawa wa lenta au niendelee kusubiri kwanza?
Hii itakuwa futi sio mita hiyo 10×13m ni kiwanja unaweza jenga vyumba viwili vya 3×3m na sebule na choo wewe kwako kiwe chumba kimoja tuUpana mita 10
Na urefu mita 13.
M17 unahamia kibishi endapo nyumba haitakuwa na mbwembwe nyingi pia bati ukichukua za kichina sio Alaf na pia usimamizi ukiwa madhubuti
Utaweza kupaua na kuhamia huku ukiweka madirisha na milango ya khanga na vitenge