Habari marafiki.
Mkononi nina kama 20m hivi,kuna kakiwanja kama ka 25×20 nimekapata morogoro road eneo linaitwa madafu kwa 3m,so mkononi nitabakiwa na 17m.je wakuu naweza kweli kujenga nyumba ya walau room 3 ikafika usawa wa lenta au niendelee kusubiri kwanza?
Alaf hiyo sehem ni tambarare au ina muinuko?. Udongo mzur?.Habari marafiki.
Mkononi nina kama 20m hivi,kuna kakiwanja kama ka 25×20 nimekapata morogoro road eneo linaitwa madafu kwa 3m,so mkononi nitabakiwa na 17m.je wakuu naweza kweli kujenga nyumba ya walau room 3 ikafika usawa wa lenta au niendelee kusubiri kwanza?
Vyumba 2, choo, jiko, kastoo, ka dinning room na sebule ya 14x15ft^s unahamia.Habari marafiki.
Mkononi nina kama 20m hivi,kuna kakiwanja kama ka 25×20 nimekapata morogoro road eneo linaitwa madafu kwa 3m,so mkononi nitabakiwa na 17m.je wakuu naweza kweli kujenga nyumba ya walau room 3 ikafika usawa wa lenta au niendelee kusubiri kwanza?
Kama hautaki mbwembwe za ramani ulizoona mbweni, na uwe na idea ya ujenzi angalau kidogo( ili usiokotwe), unang'ata meno unapaua, unapumzika kukusanya nguvu za finishingHabari marafiki.
Mkononi nina kama 20m hivi,kuna kakiwanja kama ka 25×20 nimekapata morogoro road eneo linaitwa madafu kwa 3m,so mkononi nitabakiwa na 17m.je wakuu naweza kweli kujenga nyumba ya walau room 3 ikafika usawa wa lenta au niendelee kusubiri kwanza?
Room 3 unapaua.Habari marafiki.
Mkononi nina kama 20m hivi,kuna kakiwanja kama ka 25×20 nimekapata morogoro road eneo linaitwa madafu kwa 3m,so mkononi nitabakiwa na 17m.je wakuu naweza kweli kujenga nyumba ya walau room 3 ikafika usawa wa lenta au niendelee kusubiri kwanza?
Iwapo unauhakika kiwanja hakina shida anza ujenzi,ila usishtuke kwani inaweza isifikie lengo lako la llinta.Habari marafiki.