Mjomba Malume
JF-Expert Member
- Apr 8, 2025
- 917
- 1,347
Hicho kitu ndio zaidi ya extraordinary kweli?Amegusia eti ronado ndio aliwatoa mavumbini ureno wakashinda euro na nations league
Vipi yule mchezaji aliyefikisha contribution ya zaidi ya mabao 100 kwa mwaka na hakuna aliyewahi kufanya hivyo zaidi yake?