2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Watu wanachukulia wc ni mpechempeche, lile kombe sio mchezo inahitaji uwe na timu kweli ndio ulibebe
 
Umeisaidiaje timu Yako kuchukua kombe ngazi ya taifa? Magoli ya timu ya taifa ya mechi za kirafiki nayo yapo?
Swali zuri.

Kabla ya Ronaldo, Ureno ilikuwa imefuzu mara tatu tu kombe la dunia. Ambapo ilikuwa ni mwaka 1966, 1986, na 2002.

Lakini baada ya Ronaldo imekuwa ni back to back hakuna mwaka ambao Portugal hajafuzu kucheza World Cup.

Mbali na hizo qualifiers za World Cup, Portugal likuwa haina kombe lolote.

Ronaldo ndiye aliyebadilisha historia hiyo kwa kuiongoza Portugal kushinda mataji yao ya kwanza kabisa ya kimataifa ikiwemo Euro 2016 na UEFA Nations League 2019.
 
Mafanikio ya Messi unayadunisha kweli kweli ila uhalisia Kila mdau wa Soka anauona.
Mmekuwa mkitaja kombe la dunia kama kipimo pale mjadala wa Messi na Ronaldo unapoanza.

Mimi nina challenge nyingine tofauti.

Wachezaji waliochukua kombe la dunia ni zaidi ya 400.

Lakini mchezaji aliyeifunga Spain hattrick ikiwa katika prime yake ni mmoja tu
FB_IMG_1784549532556.jpg
 
Hata Infantino hakutarajia ndio maana aliwaandalia njia nyepesi.

Wewe unafikiri ni kwa bahati mbaya Argentina iwe timu pekee kwenye miaka 96 ya World Cup kufika semi final bila kukutana na top 10 ranked?

Hivi unadhani yale ambayo tumekuwa tukiyalalamikia humu kuhusu favouritism ambayo Argentina na Messi wamekuwa wakiipata, ilikuwa ni maneno matupu yasiyokuwa na hoja?

Unadhani ni kwanini Laporta ambaye ni raisi wa Club ya Barcelona kabla ya mechi alisema Spain wana timu nzuri ya kushinda kuliko Argentina ila ikiwa tu mwamuzi atachezesha fair?

Hivi unafikiri ni bahati mbaya kwenye miaka 96 ya World Cup (kasoro minne iwe karne ) Messi kuwa na Penalty nyingi kuliko mchezaji yeyote na huku penati 4 akizipata kwenye single tournament??

Uliyemuona jana, yule ndio Messi ambaye sisi tumekuwa tukimjua siku zote na tukiwaambia mnakaza fuvu.

Stats za Messi jana ni sawa tu na zangu ambaye nilikuwa naangalia hiyo game maana sina on target, sina off target, sina dribbles, sina goli.

Kitu pekee kinacho nitofautisha nayeye ni kwamba, mwenzangu alikuwa hana hivyo vyote akiwa yupo uwanjani wakati mimi nikiwa kwenye kitanda.
Huachii mashabiki wa pessi wapumue kidogo?
 
Swali zuri.

Kabla ya Ronaldo, Ureno ilikuwa imefuzu mara tatu tu kombe la dunia. Ambapo ilikuwa ni mwaka 1966, 1986, na 2002.

Lakini baada ya Ronaldo imekuwa ni back to back hakuna mwaka ambao Portugal hajafuzu kucheza World Cup.

Mbali na hizo qualifiers za World Cup, Portugal likuwa haina kombe lolote.

Ronaldo ndiye aliyebadilisha historia hiyo kwa kuiongoza Portugal kushinda mataji yao ya kwanza kabisa ya kimataifa ikiwemo Euro 2016 na UEFA Nations League 2019.
Nazungumzia ngazi ya juu kabisa ya soccer duniani, wc, sio ngazi ya kikanda hiyo upande wa ulaya, halafu mbona kama unamdhalilisha ronaldo? Ronaldo ni MCHEZAJI mkubwa sio wa kuzungumzia hizo level za euro na nations league, ronaldo inatakiwa tujadili ana magoli mangapi kwenye world cup na tuzo ngapi
 
Kwani kilichomfanya Messi atangaze kustaafu ilikuwa ni kombe la dunia?
 
Screenshot_20260720_211606_Instagram.jpg

Ikitokea hata tumepata mechi ya kwenda kucheza na majitu ya kutoka mwezini huko, hichi kikosi ndio kitatumwa kikaitetee dunia

Kama MCHEZAJI WAKO hayupo JITAFAKARI sana
 
Back
Top Bottom