Ulichoandika hakielewekiNimekwambia Ronaldo na Badr Hari na sio Ronaldo pekee
Kumbuka Ronaldo ana same amount ya Champions League ambazo timu fulani imekuwa ikijaribu kuzipata kwa zaidi ya miaka +120
MessiSITAKI MANENO, NATAKA PICHA YA MCHEZAJI WAKO UNAEMPENDA AKIWA NA WEDIKAPU
Basi wewe ndo utakuwa na wenge la mwamba Yamal alichowafanyia Ureno mpaka unashindwa kuelewa hata vitu vidogo🤣🤣🤣🤣Ulichoandika hakieleweki
Ni kama bado una wenge na kitu alichokufanyia Yamal jana
You need prayers
View attachment 3633378
Elezea hiyo inakusaidiaje wewe na timu yako?Basi wewe ndo utakuwa na wenge la mwamba Yamal alichowafanyia Ureno mpaka unashindwa kuelewa hata vitu vidogo🤣🤣🤣🤣
Lamine>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>penaldo