moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 158,365
- 775,926
Mfungaji bora pekee ni tuzo.Mfungaji bora hana tuzo?
Golden Boot ndiyo tuzo yake
Mfungaji bora pekee ni tuzo.Mfungaji bora hana tuzo?
Atachukua kwa mara nyingine Ballon d'Or.Rodri kalamba zote huyu mwamba nimemnyooshea mikono.
Mchezaji bora wa
World cup
Uefa Euro
Uefa nations league
Uefa champions league
Mashindano yote haya waliochukua Rodri alikuwa mchezaji bora hatari
Mkuu nimekuona pma ndugu yangu tafadhali HammazArgentina hakuweza kukutana na timu ngumu.
Timu yao ni ya kawaida tu.
England ni ujinga wao tu kuwaza kushikilia bomba mapema.
Sema huyu mwenye nywele wa spain alikuwa na hasira ht ile siku wamecheza na Australia km sikose😅😅hataki ujingaMbusi ya watu kiroporopo
View attachment 3633454
Hakuna ambae angetoboa mbele ya spainHawa Spain
Ni dhahiri hakuna timu ingeweza kuwazuia
Aaah
Vitoto vinapiga mpira jamani
Mkuu Hammaz nimekuona pm sana 😥🙏🙏😭😭Kuna faulo Argentina wamecheza mbili za kupewa Yellow card ila refa kafumba macho.
Messi ingawa amekosa Kombe kwenye fainali hizi na hata kama atastaafu Anastahili sifa nyingi.Messi katolewa lakini ukweli utabaki kwamba Ronaldo Hana world cup
Kwangu mimi, hii sio sura ya mtu aliye complete kila kitu kwenye mpira.Huyo kacomplete football Sina neno hapo
Ujeruman, Italy , BrazilWajerumani tutarudi kama vipanga klopp ameshapewa timu
Sasa hizo ni hisia tu, Ina maana wewe hujui kama messi kamaliza kilakitu? Ukiachilia mbali ushabik, mbona cr7 ni MCHEZAJI mkali tu ishu team aliyopo ya taifa Bado changa kwenye wc Haina historia yoyoteKama amemaliza kila kitu, unaweza kuelezea kwanini jana alikuwa analia?View attachment 3633524
Mimi Italy na Brazil sizikubal, ijapokua Italy wanakamiaga sana waleUjeruman, Italy , Brazil
Hizi team zirudi jmn
🤣🤣🤣 Aisee, wewe unaangapia sura au uhalisia, mwanangu wewe hatari sijawahi ona hii, yamal Bado UEFA na balon dor tuu nae amalizeKwangu mimi, hii sio sura ya mtu aliye complete kila kitu kwenye mpira.
Unless unaimbie hii ni AIView attachment 3633547View attachment 3633548
Wazee wa kukamia wanamtaka pepUjeruman, Italy , Brazil
Hizi team zirudi jmn
At least hajasema ni AI🤣🤣🤣 Aisee, wewe unaangapia sura au uhalisia, mwanangu wewe hatari sijawahi ona hii, yamal Bado UEFA na balon dor tuu nae amalize
Mimi ni shabiki halisi wa mpira japokua namkubali sana Messi, kwanza sikutarajia kwamba watafika fainal mana kikosi ndio kilekile cha 2022 kilichobeba kombe wameshachoka.At least hajasema ni AI
View attachment 3633563
Hata Infantino hakutarajia ndio maana aliwaandalia njia nyepesi.Mimi ni shabiki halisi wa mpira japokua namkubali sana Messi, kwanza sikutarajia kwamba watafika fainal mana kikosi ndio kilekile cha 2022 kilichobeba kombe wameshachoka.
Ufaransa na Argentina tuzipe heshima yake tuache ushabiki
Ufaransa kabeba 2018 halafu karudi tena fainali 2022
Argentina kabeba 2022 karudi tena fainali 2026
Sio rahisi Mzee, Kuna timu hazijawahi kucheza hata fainali