2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Screenshot_20260720_191456_Instagram.jpg


Barcelona ikitoa wachezaji wengi Spain national team, lazima wafanye vizuri, Barcelona ndio nyumba ya vipaji na ndio kiini cha nafanikio ya timu ya taifa
 
Okay. Hapa natamani tu watuongezee Nico Williams maana hana mapenzi na Barca hawezi saliti kambi madrid
KWANI Nico yupo Barca? Maana Barca watamhitaji vipi Nico na namba yake washamsajili muingereza Anthony Gordon
 
When can't win it even with the help of FIFA, referee, just look at the WC and move on
FB_IMG_1784565062801.jpg
 
GOAT for a reason, what a generational performance 🔥

0 Goals
0 Assists
0 Shot on goal
0 Key passes
2 Committed fouls
1 Attempt to cheat
120 Minutes played

FB_IMG_1784559523501.jpg
 



Mwenye timu ndio yule alipasuka msamba kumzuia yule mchezaji wa Barcelona baada ya pale ...... Nihakikishie ulinzi kwanza.
🤣🤣🤣🤣 Funguka Mzee usijali, Mimi mwenyewe baada ya kutoka yule mmakonde nikajua tuu kazi imeisha
 
🤣🤣🤣 Ni kweli ronado ni zaidi hata ya maradona na Pele, kwanza ana makombe yote, jamaa anajua sana aisee
Simchukii Messi, na appreciate kila kitu alichofanya kwenye ulimwengu wa soka japo mashabiki wake mmekuwa mki exaggerate l.

Lakini ukweli unabakia kwamba Ronaldo ndio GOAT. Tushaona mtu yeyote anaweza kushinda World Cup, Italy na Brazil wanechukua back to back.

Pedri naye anakuwa ni miongoni mwa wachezaji waliobahatika kushinda World Cup licha ya stats zake zilivyokuwa za mashaka ambazo wote tunazijua.

Lakini kile ambacho Ronaldo ame achieve kwenye soka ni zaidi ya extraordinary, kufanya alichofanya Ronaldo kunahitaji zaidi ya kipaji ili kufikia ile level.

Pengine asingekuwepo Ronaldo huwenda ningetakiwa kuchagua kati ya Messi na Pele.

Lakini kwasababu Ronaldo Aviero Dos Santos yupo, wala hakuna haja ya mjadala.

Messi's only crime was existing in the same generation as CR7, because there can only be one GOAT, and it can't be anyone else when CR7 is still in the picture.
 
Back
Top Bottom