G
guest-1790917349
Guest
Nilikwambia mimiHaya mauza mauza jamani
😅😅
Nilikwambia mimiHaya mauza mauza jamani
AbeeeMama mchungaji heshima yako.
Uliniambia🙄😩Nilikwambia mimi
😅😅
Wala kawaida tu😁 Umeandika kwa uchungu sana
hadi wewe Spain?Uliniambia🙄😩
Au ulikuwa hujawaona hawa watt wakichwza na Austria ma tema nyingine???Uliniambia🙄😩
Nooooo🥹hadi wewe Spain?
Jana nilisema hapaila binadamu ni wanafiki sana, nimepitia hapa eti hakuna hata mmoja anayesikitika kabisa.
how comes leo watu wote wawe Spain??
nakupa pole sana.Nooooo🥹
yaani...binadamu kazi kweli kweli, hatupendi kabisa kushindwa sijui ni kwaniniJana nilisema hapa
Ukitaka kuona watu walivyo wanafiki na hawaipendi Argentina subiri ifungwe
Ndo unachokina sshv
Team spain since day 1 tunajuanq wale wa goat wamekumbia uzi
😅😅tatizo watu ni wabishi snWanatafuta namna gani wambebe hata kwa kipenati cha mchongo.
Dogo Yamal anaenda kuamulia hili 2nd half
My dear jana mpira ulinishinda hii video nili recod nikiwa kitandani nasikia kwa mbali Messi lol pureshaaaaAu ulikuwa hujawaona hawa watt wakichwza na Austria ma tema nyingine???
Hawa watt noma
PoleeeMy dear jana mpira ulinishinda hii video nili recod nikiwa kitandani nasikia kwa mbali Mara Lamine lol pureshaaaa
Nilitaka nimtumie uran nimwambie nipo kwa bed yamenishinda🥹🥹🥹
Wanafiki sana 😢nakupa pole sana.
ila huko social media kila mtu ni Spain leo
Na ukapata usingizi kabisa?Abeee
Kwetu raha
Jana nilienda kulala baada half time
mimi nilikuwa timu CuracaoWanafiki sana 😢