2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Numbisa
Lamomy
Saint Anne
Da'Vinci Angel Nylon hawa na wengine wachache sijashika majina yao ndo najua team spain ht tungefungwa tungekubali matokea...😅😅😅
Bila kusahau Scars walimsemq sn
Mashabiki wa Argentina wamejificha kwenye kichaka cha Barcelona
Wakati tangu mwanzo walikuwa Argentina
Eti leo wanaact kama wamefurahi pia Spain kushinda
 
1784532422428.png
 
Nilishindwa kabisaaa kushabikia spain mn michezaji ya Barcelona imerundikana. Mechi kama mazoez bhn wahuni wamekaa walikuwa wanazengea Penati
 
Back
Top Bottom