Christine_1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,861
- 44,076
Hahahaha Scars njoo bwana watu wamekimbia uzikabisa, ila ni jeshi la mtu mmoja. alikuwa anaweza kupangua kijiji kizima kwa hoja
Hahahaha Scars njoo bwana watu wamekimbia uzikabisa, ila ni jeshi la mtu mmoja. alikuwa anaweza kupangua kijiji kizima kwa hoja
By then I'll already be in my thirties na kidogoutakuwa na umri gani? mumeo atakuruhusu? tuende uwanjani kabisa
Ronaldo ni mbuzi dumeMi sio fan wangu huyo ht hainipi shida ndo maana nilikuwa naboreka humu kila siku Ronaldo😅
atakuwa amelala, world cup ilituchosha sanaHahahaha Scars njoo bwana watu wamekimbia uzi
wanafiki sana
Tutawafuatilia 😹Tunawajua 😅😅😅
sawa, mrembo mzuri.By then I'll already be in my thirties na kidogo
Haya sawa diha uzima ukiwepo 2030Mi sio fan wangu huyo ht hainipi shida ndo maana nilikuwa naboreka humu kila siku Ronaldo😅
Refa wa Jana alikuwa hacheki na wowote😅😅tatizo watu ni wabishi sn
Ninazo nyingine 😂sawa, mrembo mzuri.
lakini habari mbaya hiyo Argentina yako itakuwa hoi sana.
Vijana wametusaidia kuondoa Internet pollution hawa team dwarf wangetusumbua sana.Ndio nilikuwa na uhakika na vjn wangu😅😅
Tafuta picha ya Ronaldo na Badr Hari
Basi kumbe nilipoteza muda wangu kuwashabikiaWangechafu sana hapa ,serikali ya israel walishasema wanamuunga mkono Argentina ..
KabisaVijana wametusaidia kuondoa Internet pollution hawa team dwarf wangetusumbua sana.
😅😅😅😅Refa wa Jana alikuwa hacheki na wowote
Hana penati za bure
Gaat baada ya kukosa on target hata moja, na penati hata moja hakupata.
Inauma sana
Dakika 120 winga wenu ana 0 shotWalikuwa makini sana wasimkere...
Uzi wao wenyewe lakini saizi wanaingia kwa kuviziaNumbisa
Lamomy
Saint Anne
Da'Vinci Angel Nylon hawa na wengine wachache sijashika majina yao ndo najua team spain ht tungefungwa tungekubali matokea...😅😅😅
Bila kusahau Scars walimsemq sn
Good morning 😀Dakika 120 winga wenu ana 0 shot
Hivi tuna uhakika gani na hizi tafsiri zinazomtaja kuwa ni winga?
Au winga kwa maana ya
View attachment 3633290
Umekunywa chai?Uzi wao wenyewe lakini saizi wanaingia kwa kuvizia
View attachment 3633294