2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Bora yetu sisi mashabiki tuliokuwa tunahama hama timu maana tumemaliza vizuri kuliko hao wengine wanaomaliza vibaya
 
IMG-20260708-WA0066.jpg

Kila mtu amuonyeshe GOAT wake akiwa na WC.
 
Katia stendi na mikono kabisa amenikumbusha Sawa dogo alipokuwa anaomba sub

 
Back
Top Bottom