Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 52,682
- 130,503
Hadi commentators wameshangaaHuyo peredes mwenyewe hatakiwi kuwa uwanjani, hiyo foul sijui ya ngapi na ana Yellow tayari
Hadi commentators wameshangaaHuyo peredes mwenyewe hatakiwi kuwa uwanjani, hiyo foul sijui ya ngapi na ana Yellow tayari
Sasa mkuu tushakula red, muda mwingi wa mchezo tupo nyuma ya mpiraLeo yamekuwa hayo🤣🤣🤣
Sio kumpongeza kipa?Dah! Namna gani Lamine 🙆♀️
Sahii tena huyo Parades kaingia kuitafuta red kabisa toka anaingia analeta utoto na uhuni wa kishambaHuyo peredes mwenyewe hatakiwi kuwa uwanjani, hiyo foul sijui ya ngapi na ana Yellow tayari
Naona kijana ameshapandwa na kisukari.Punguza ujinga dogo mpira tu huu usikupe uwendawazimu
Hizi sasa nyegeIla sio mbaya ronado nae atashinda kombe akiwa na miaka 45 mwaka 2030 atamfikia yamal mwenye world cup 1
Nakubali sana mkuu🔥🔥🔥ARGENTINA na red card anabeba hili kombe na hamta amini. Spain hawaja balehe hii game wangeimaliza mapema kipindi cha kwanza.
Ndio maana nimesema hili haikuwa faulo ya kustahili njano.Alikuwa na Yellow.
Pia jamaa huyo ni kama alikuwa anaitafuta
🔥🔥🔥Msije kutuambia tumelibeba kwa bahati tu. Maana waja hamuishi maneno.
Hili linaenda America.
Sasa nasisi lazima tulibebe 2030, hakuna kukata tamaa 🔥🔥Hizi sasa nyege
Jamaa huko nyuma alishapigwa njano kwa hiyo hata angepigwa njano nyingine tayari angetolewa nje mkuu !! Uhalisia Spain wamepata nafasi nyingi sanaHii sio faulo iliyostahili kadi ya njano kwangu mimi jamaa ame dive sana
Ni kama ile tu ambayo alipewa mchezaji wa Switzerland haikupaswa kuwa red kama hii
View attachment 3633006
View attachment 3633007