Mawe yote huoni?Hawa Spain wanakera sana, hawapigi mawe golini mambo ya kulizunguka box la mpinzani bila kuattempt ni upumbavu
Poor youSpain leo wamejua kutunyamazishia kelele mtaani
Zile mechi za Afcon zilimfunza kitu. Ameiga tabia za Egypt, Algeria na Cape Verde kupoteza muda ili kupoza mashambulizi au kuvizia ET.Kwanini Argentina wanapoteza time,hasa Kipa?
Mawe ya kumlenga kipa?Mawe yote huoni?