G
guest-1790917349
Guest
Matuta hapa yanaweza fika
Haiwezekani kupikwa pamoja 😀😀Wewe naona hatupikwi chungu kimoja
Hii sasa imekaa vizuri 😅.Kumbe hadi wewe upo huku
Basi wewe ni twin💯
Yule ndio basi tena, ila kazingua sana miaka yote hiyo hata kucheza final tuu?Museveni wa Portugal ana wafuasi waaminifu kweli kweli, pamoja na kutolewa lakini bado vijana wake wanampigia kampeni.
Exactly haya mhenga shabikia wazee mie yankiiii kwa Messi 😎Haiwezekani kupikwa pamoja 😀😀
DuuhMapumziko dakika 30 duh Leo tunakesha Tena😀😀😀
Messi anafunga au kutoa assist muda wowote ule😹😹😹 Messi nguvu hamna leo.
Naona anapepesuka
Ndo maana mimi nataka niachane na mambo ya mpiraKwa utafiti usio rasmi watu wasiojihusha na mpira wala siasa hata kama wana hela ndogo huenda wana furaha sana
Pole sana 😹Jirani haya mambo ya mpira unaweza kufia juu ya kiti aisee.
😂😂😂Kwa mazingira haya ArgentFifa akishinda basi kombe la dunia la msimu huu litakuwa limechukuliwa na timu dhaifu sana
Ni ipi hiyo imekaa vibaya 😎Hii sasa imekaa vizuri 😅.
Kujipa matumaini sio mbaya 😹Messi anafunga au kutoa assist muda wowote ule
Wanatafuta namna gani wambebe hata kwa kipenati cha mchongo.
Anaangalia pattern.. huyo akiwa uwanjani tu ni tatizo muda wowote anaubadiki mchezo. Ndo maana wenzake wala hawana tatizo nae , yeye anatembea tu.😹😹😹 Messi nguvu hamna leo.
Naona anapepesuka