The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 38,947
- 120,972
Martinez pancha
Yalifeli vibaya sanaKwa hiyo malengo yako yote mawili yalifeli maana England alishinda na Mbappe alifunga
Ewaaa!Spain angekua anapiga mawe nnje ya 18 hii mechi ingechangamka sana
Huyu dogo Man U wamuuze tu pancha nyingi sanaMartinez pancha
Mi sina mtu naemshabikiaNi shabiki wa nani wewe?
Haya spain wakishinda unajua pakudondosha namba. Ngoja nishabikie Argentina sasa.Wanasema team Messi na team yamal
Me:team yamal
Mi nakumbuka 2022 hili tukio lake la faulo akimchezea Kolo MuanOtamendi INN
Sahahu jirani 😹Hata Mimi,yeyote atakayechukua poa tu ila ni bora zaidi achukue La Pulga.
Inakuwa kubahatisha huko. Argentina kuwa mudu hawa vijana hadi muda huu wametisha sana.Spain angekua anapiga mawe nnje ya 18 hii mechi ingechangamka sana
Jana watu tulikuwa na mixed feeling kishenzi.Wewe mi jana nilitaka ufaransa ashinde coz England siwakubali
Na hapo hapo nilikua sitaki Mbappe afunge ili asimpite Messi
Yaani jana nilikua kimkakati