PoaMzee niaje?
ThubutuHuyu Yamal angepewa kiatu cha ugoko maana ana kiherehere
Ronaldo je ?Lamine Yamal mpaka sasa ameonesha kiu ya kuhitaji hili kombe kuliko Bruno Fernandez
Balance hakuna yanadondoka tu!Wanacheza na watt wa elf 2 na 5 damu changa
Famchezo nn
Kwenye maisha ya mpira hakuna adui wa milele wala rafiki wa kudumuTangu mwanzo unamponda weeeee, leo umekubali🙆♂️
😂😂Watoto wa Spain wanachezea nafasi wenyewe baadae atakuja kusingiziwa FIFA.
Wewe mi jana nilitaka ufaransa ashinde coz England siwakubaliWewe jana si ulikuwa unamshangilia Mbappe na ukafikia kabisa hatua ya kumuita mwanaume mashine
Pole ya nn?🤣🤣🤣 Poleni sana aisee
Ronaldo hadi sasa hivi simdai kwasababu kwa umri wa miaka 41 halafu upewe mzigo wa kuyabeba yakina Bruno sio rahisi.Ronaldo je ?
Olmo ni mtu haswa