Ndio hakika kikapu cha jana kilipendezaLakini si tulishinda sisi?🤣
Ni shabiki wa nani wewe?Pole ya nn?
Mi sio fun wake
Argentina ndiyo mpira wao miaka mingi.Hawa Waargentina unaweza kuhisi hawachezi ulaya kabisa ni mpira wa vita vita tu
Ilikua counter attack ile,bora yellow card.Lisandro Martinez yellow card
Vinyonga hao , wanabadilika kufuatana na mazingira.Nipo Argentina crush 😍
Siwezi kua upande mmoja na hao waliojificha kwenye kichaka ha Spain
Kumbe wengeni mi mashabiki wa yule babu wa kireno
Halafu wakiitwa mbeleko fc wanakua wakali😄😄😄Kabisa mtu anapandwa juu refa anameza filimbi
Kwa hiyo malengo yako yote mawili yalifeli maana England alishinda na Mbappe alifungaWewe mi jana nilitaka ufaransa ashinde coz England siwakubali
Na hapo hapo nilikua sitaki Mbappe afunge ili asimpite Messi
Yaani jana nilikua kimkakati
Vijana wa Museven wa Portugal.Vinyonga hao , wanabadilika kufuatana na mazingira.
Vamos Argentina! 🩵
Kumbe hadi wewe upo hukuVinyonga hao , wanabadilika kufuatana na mazingira.
Vamos Argentina! 🩵
Hata Mimi,yeyote atakayechukua poa tu ila ni bora zaidi achukue La Pulga.Nashindwa nimshabikie nani maana wote ambao siwapendi wameshatolewa. Ninaowapenda ndio wapo.
Huyu Mzee mchawi hatabirikiLeo ni kama Messi amemezwa ! Au mida yake bado ?