Sema wanaonekana uwezo wa kujitetea wanao.Hawa madogo wa America wajikaze..kuna washua wakikutana nao kutaiva😀😀😀
Sio 4-1?FT
USA 4 - 0 Paraguay
Kuna kautoto flani hiviSema wanaonekana uwezo wa kujitetea wanao.
Imekuwa bahati mbaya sana Kwa Paraguay
4-1 bana….walipata la kufutia machozi.FT
USA 4 - 0 Paraguay
Hehehe, hujaandikaNaona Cookie amekula kona 😂.
na bahat nzur kwa wawekezaji😁😁😁Imekuwa bahati mbaya sana Kwa Paraguay
Huyo mbwa hakanyagi huku.Baba Keegan aliishia Mexico?