makorere
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 2,102
- 1,654
MhhHata mimi mkuu, imekaa kimchongo zaidi
MhhHata mimi mkuu, imekaa kimchongo zaidi
Mimi nlishaacha kuangalia Nina karibia mwaka wa 2Utopwinyoz leo amemla kichwa julio huko mwisho wa reli
Marekani hapo jua la utosiHawa jamaa mbona ni kama wanachezea kwenye jua kali
Wanachezea san Francisco marekani Sasa hivi ni saa 6 dakika 41 mchanaHawa jamaa mbona ni kama wanachezea kwenye jua kali
Watapewa cool breakWanachezea san Francisco marekani Sasa hivi ni saa 6 dakika 41 mchana
Kwanjni game zisipigwe kuanzia jioni, au uhaba wa viwanja😂Wanachezea san Francisco marekani Sasa hivi ni saa 6 dakika 41 mchana
Huku sasa si itakuwa asubuhi saa 3, tusiende kazini sasa😅😅Kwanjni game zisipigwe kuanzia jioni, au uhaba wa viwanja😂
Yeah kila baada ya dakija 24 kila kipindiWatapewa cool break
Pira halina mvutooooWashatupia kimoja huko tayari
Offside lazima mtu azidi mwili mzimaIla wazee kiuhalisia lile goli la uswisi ni offside halali kabisa
Yah hata vivuli vyao ni kama wanavikanyagaWanachezea san Francisco marekani Sasa hivi ni saa 6 dakika 41 mchana
Hii tuna buy time tu kuisubiri ya Morocco 🇲🇦 na Brazil 🇧🇷...Uswisi vs Qatar
Game imepoa sana