100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,107
- 36,119
Mkuu we acha tu, nimeamka asubuhi saa 1...Vipi umeamka?
Mkuu we acha tu, nimeamka asubuhi saa 1...Vipi umeamka?
Sio mbaya, umetunza usingizi wa brazil morocco, saa saba usikuMkuu we acha tu, nimeamka asubuhi saa 1...
Hii game wote wanaogopanaSio mbaya, umetunza usingizi wa brazil morocco, saa saba usiku
Uwanja ghali zaidi dunianKwa uhalisi kombe la dunia Upande wa US litakuwa na Vibe sana kuzidi Qatar, Russia, Brazil
SoFi Stadium iko zaidi ya vizuri
MfireniHuyo mbwa hakanyagi huku.
Natamani sana aje halafu atuambie alipo…..ila najua hilo haliwezekani.
Ningemtemea makohozi usoni na asingekuwa na la kunifanya.
World cup inaanza pale brazili anapocheza.....hatari hiyo saa saba usiku...hakuna kulala
Paraguay mde wedodebwedo yaani usa walikuwa wanabonyeza kize ji tuuMarekani imenipasulia mtu Hadi raha
Paraguay miaka ya nyuma walikua vzuri sanaParaguay mde wedodebwedo yaani usa walikuwa wanabonyeza kize ji tuu
Enzi za kina shilavet... Mweee jana hamna kitu yaani ingewezekana unabadili backline yoteee!!Paraguay miaka ya nyuma walikua vzuri sana
Hiyo Brazil mnayoishobokea mwisho WA siku inakuwaga miyeyusho, Brazil ya sasa sio ya zamaniWorld cup inaanza pale brazili anapocheza.....hatari hiyo saa saba usiku...hakuna kulala