Ni kweli link ni miyeyusho sana, yan ukiangalia kupitia link huku umeweka notification Livescore ndo utaelewa unachelewa sanaSema link kucheki games kupitia links ni zinakuwa late sana mpaka dakika na nusu hadi mbili
Mimi nikitumiaga link sifuatilii updates za JF wala simu, ndio naangalia kwa rahaNi kweli link ni miyeyusho sana, yan ukiangalia kupitia link huku umeweka notification Livescore ndo utaelewa unachelewa sana
Wanakuja na kukata kama Indicator ya gari😀Mnawaonaje Uswisi?
Dakika ya 12
0-0
Hawawezi, wamezidiwa mnoHawa qatar watatoboa kweli hapa
Hata mimi mkuu, imekaa kimchongo zaidiHii Penat mimi sijailewa..anyway mbele huko