2026 FIFA World Cup - Special Thread

Hebu angalia hii!

This is unforgivable.

Hata Cape Verde walicheza vizuri zaidi ya hivi.

Yaani kuanzia dakika ya 55 England walipofunga goli mpaka dakika ya 92 ambapo Argentina walifunga goli la pili, England walimiliki mpira kwa asilimia 12 tu!

Tactic ya wapi hii? Hata timu za Afrika zilicheza bora zaidi ya hivi.

Mnaacha kabisa kushambulia mnategemea nini? Mbinu ya ajabu kabisa hii.

Na si kwamba England hawakuwa na uwezo wa kushambulia. Wana uwezo mzuri kabisa na huenda hata wangefunga goli la pili kabla ya Argentina kusawazisha.

 
England ni matapeli, Spain alikutana na France Iliyopo Bora lakini hawakupark bus walipopata goli moja
 
Mashabiki wa Ronaldo wanampenda kwa sababu ana mapaja makubwa... World Cup kimewaramba watu tushavuka huko hatutaki tena mapaja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…