2026 FIFA World Cup - Special Thread

Mbona Portugal kashika nafasi ya pili? Maana ulizungumzia Ranking, nimekuomba Ranking ya kundi la Ureno hukunipa then ili tucompare na Argentina.Tusiende mbali okay weka timu za kundi la Spain.
Nyie mnabishana kuhusu timu kupangwa kwenye makundi. Kama mliangalia jinsi ya draw za kupanga timu kwenye hii World Cup 2026 hiyo isingekuwa point of discussion. Ilirushwa LIVE na wakuu wa nchi husika yaani USA, Mexico na Canada wakiwepo. Majina ya nchi yalikuwa yamewekwa kwenye vitufe na vinachanganywa hapo mtu anaingiza mkono anachukua kimoja na kusoma jina la nchi husika.

Nchi zilipangwa kwenye 4 groups kulingana na ranks. To make it short HAKUKUWA na uwezekano wa kuipangia nchi timu dhaifu!!!
 
Mkuu achana nao vilomolomo hao unajitesa bure.

Wana weweseka wanatafuta sehemu za kuficha aibu zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…