G
guest-1790917349
Guest
Natamani watoke hawa ArgentinaKutoka 1966 sasa ni 2026 miaka 60 baadaye england anaenda kuchukua world cup ya pili 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥😀
Natamani watoke hawa ArgentinaKutoka 1966 sasa ni 2026 miaka 60 baadaye england anaenda kuchukua world cup ya pili 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥😀
General mbappe nae kawaangusha hawana jinsiWashenzii wanajificha kwa England 🤣🤣
Babu la kimakondeKondoo ni nani?
Siyo slot tapeli aliyefanya Liverpool kama klabu ya kijijini kwao uholanziSio arne slot
Punguzeni makasiriko1🤣🤣🤣🤣🤣Washenzii wanajificha kwa England 🤣🤣
SimjuiBabu la kimakonde
Tatizo wote wanacheza kwa presha kubwa sana pia ni wabovu na wamefika hapa kwa bahati sana.Nawahasa ndugu zangu tusiowapenda Argentina tusubiri mpaka kipyenga cha mwisho
maana hawaeleweki hawa muda wowote wanafufuka
Noma japo mimi nilitamani France apiteGeneral mbappe nae kawaangusha hawana jinsi
Wakishapigwa comeback ndo huwa wanaanza kulia eti Messi anabebwa 🤣Nawahasa ndugu zangu tusiowapenda Argentina tusubiri mpaka kipyenga cha mwisho
maana hawaeleweki hawa muda wowote wanafufuka
Upo timu gani.Siyo slot tapeli aliyefanya Liverpool kama klabu ya kijijini kwao uholanzi
Huyu Tuchel ni Mwalimu mbobevu wa mpira 🔥
Uliwaambia lakini hawatakiNiliwaambiaaa
Hiyo haitaondoa uhalisia kwamba BABU WA KIRENO HANA WEDIKAPNoma japo mimi nilitamani France apite
Tulia kijana elekeza macho kwenye TV yakoPunguzeni makasiriko1🤣🤣🤣🤣🤣
Huyo ni maiti tayari. Kufufuka kwake kwa mara ya kwanza ni kwasababu alikutana mnyonge . Safari hii ndo basi tenaNawahasa ndugu zangu tusiowapenda Argentina tusubiri mpaka kipyenga cha mwisho
maana hawaeleweki hawa muda wowote wanafufuka