joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,425
- 41,576
Sasa timu imeshika nafasi ya kwanza ulitegemea nini? Okay angeshika nafasi ya pili angekutana nani? au mngebadilisha maneno. Unashindwa kumfunga best looser wa Africa DRC, halafu unambeza mwenzio aliyeshika nafasi ya kwanza?Wapinzani wa Argentina
Hatua Mpinzani FIFA Ranking Kundi J Algeria 28 Kundi J Austria 24 Kundi J Jordan 63 Hatua ya 32 Cape Verde 67 Hatua ya 16 Misri 29 Robo Fainali Uswisi 19
Niambie ni mwaka upi ambao kombe la dunia lilifanyika na ikatokea timu moja inafika robo fainali bila kukutana na timu yeyote kutoka kumi bora ya FIFA ranking?
Hamna kilichopangwa, matokeo ya uwanjani ndio yamempa nafasi Argentina, maana angeshika nafasi ya pili basi angekutana na Spain,so anakula matunda yake ya nafasi ya kwanza.
Halafu mbona umeweka za Argentina, mbona za wengine huweki? Hao Uzbekistan na DRC kwenye Rank za FIFA wote wapo chini ya Algeria na Austria,sasa nani anayebebwa? Unakutana na Vigonza unavi chekea, mwenzako anavikanda, halafu unaanza kulalamika wakati uzembe wako mwenyewe.