2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

France wachezaji wengi wanaleta ubishoo. Kwa upande wa Spain bishoo ni Lamine pekee. Wafaransa badala wapige pasi na krosi za uhakika wanapiga kwa mbwembwe.
Kwenye touches 23 za Dembele 11 amepoteza Olise kashika mara 31 kapoteza mara 11. Hii ni kutokana na pasi fupi fupi za France, pasi wanazotoa kwa kulazimika sio kwa malengo.
Mtu analeta mbwembwe anakabwa anamtafuta mtu aliye karibu yake amtupie lawama. Badala kuwe na move unashika mpira unatazama aliye wazi unatoa mpira mapema kwa kufuata build up.
 
Olise arudi kati dembele akae pembeni
 
Back
Top Bottom