joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,427
- 41,579
Shughuli imeisha, hapo wanaingiza Pedri ndipo wanawavuruga kabisaaaaaa.....
KabisaFrance kocha ni kama kaacha wachezaji wake wamletee ustaa. Hawana mfumo wanajichezea wanavyotaka.
Au basi kocha hajui kivile, anabebwa na majina makubwa kwenye team yake.
Naona mpo mnaangalia wamatumbi wenzenu wanavyoteketezwaOlise arudi kati huyu kocha kumbe mmachame tu
Bwashee kocha jinga hiliNaona mpo mnaangalia wamatumbi wenzenu wanavyoteketezwa